Ajira za nje ya nchi hasa Dubai au USA

Ajira za nje ya nchi hasa Dubai au USA

Bechu

Senior Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
134
Reaction score
72
Naomba nijuze jins ya kupata kazi nchi za nje, ziwe za oficini au makampuni. Mfano USA au Dubai. Nasikia huwa kuna ma agent ila sina uhakika na hilo. Naomba anaejua zaid anisaidie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu, ukiipata ajira nchi za warabu. Kabla ya kuondoka /kuanza safari yako, hakikisha haya umeyatekeleza kwa ufasaha
1. Gawa urithi.
2. Fanyeni mazishi ili uweze kushiriki kabisa msiba wako.
3. Chonga kabisa grave yako
4. Nunua KY jelly uwe nazo za kutosha maana huko 0713 wanakula sana.
5. Jiandae kufanya kazi masaa zaidi ya 18 Kwa siku.

Mengine, wataongezea wadau wengine.
 
Jaribu kugoogle Mkuu uongeze na Doha, Qatar pia. Pale Dubai na Doha kuna Wakenya wengi sana hadi nikashangaa Mkuu. Wakati mwingine unawakuta wanapiga Kiswahili kama kazi. Nasikia wana hiring agents sasa sijui hawa wako Kenya au katika majiji hayo mawili. Pia hata Waganda wapo pia lakini si wengi kama Wakenya. Kwa ujumla wako Waafrika wengi sana katika miji hiyo miwili ila Watanzania ndiyo namba bado ndogo sana.

Naomba nijuze jins ya kupata kazi nchi za nje, ziwe za oficini au makampuni. Mfano USA au Dubai. Nasikia huwa kuna ma agent ila sina uhakika na hilo. Naomba anaejua zaid anisaidie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kugoogle Mkuu uongeze na Doha, Qatar pia. Pale Dubai na Doha kuna Wakenya wengi sana hadi nikashangaa Mkuu. Wakati mwingine unawakuta wanapiga Kiswahili kama kazi. Nasikia wana hiring agents sasa sijui hawa wako Kenya au katika majiji hayo mawili. Pia hata Waganda wapo pia lakini si wengi kama Wakenya. Kwa ujumla wako Waafrika wengi sana katika miji hiyo miwili ila Watanzania ndiyo namba bado ndogo sana.
Sawa bab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20170722-235554.png
 
Back
Top Bottom