jimmy jay jay
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 223
- 39
- Thread starter
- #21
Asante
Mkuu ndo mwanzo wa kazi kujiajiri wengi.hao 5 baada ya miaka 5 watakuwa hata mia hv nchi nzima.hapo ndo inapoanzia mia 500 mpaka mia 250.wengine watasema kwenye kila watu 10 wanne bureee.mwisho wa siku shule nazo zitanunua mashine za kunyolea. kisha shule kuajiri wanyoaji halafu sisi wazaz tunaunganishishwa pesa ya kunyolea kwenye xul fizi.hapo game litakuwa........!!!?Hao watano angalia wasikuzunguke, hakikisha kuna baadhi ya mikakati hawaijui kabisa, walipe vizuri ili kuwapumbaza, kuwa nao karibu sana ila kila mmoja uwe jambo fulani la siri ambalo wengine wanne hawalijui.
Yaani umetoa ufafanuzi mzuri sana ...Mkuu ndo mwanzo wa kazi kujiajiri wengi.hao 5 baada ya miaka 5 watakuwa hata mia hv nchi nzima.hapo ndo inapoanzia mia 500 mpaka mia 250.wengine watasema kwenye kila watu 10 wanne bureee.mwisho wa siku shule nazo zitanunua mashine za kunyolea. kisha shule kuajiri wanyoaji halafu sisi wazaz tunaunganishishwa pesa ya kunyolea kwenye xul fizi.hapo game litakuwa........!!!?
Wataivuruga kivipi. ..labda sheria za watoto kunyoa zibadilike waanze kusuka. ...Yaani umetoa ufafanuzi mzuri sana ...
Ona hii .. miaka ya 2000 uandaaji wa mitihani ilikuwa deal, walimu wakanunua computers, wakanunua photocopy wakaweka majumbani kwao wakawa wanafanya wenyewe ...
miaka ya 2005+ Id za wanafunzi zikawa deal .... walimu wakanunua camera, laptop, laminating machine ... hiyo ikavurugika ...
Hivyo hivyo hata hii wataivuruga tu...
Mwanzo utakuwa mgumu...ila ni wazo zuri sana. Jaribu kuwasiliana na shule husika moja kwa moja.Habari zenu wakuu?baada ya kukusanya ka mtaji sasa nimenunua machine za kunyoa nywele, sterilizer na vifaa vingine.Lengo langu ni kulenga kundi la watu kwa kua na mobile saloon(salun).
Hapo nimelenga:familia,shule za boarding,vituo vya wototo yatima etc...,Kwa mfano kuliko watoto ambao wanakaa bwenini watoke nje kwenda kunyoa,mimi nitakua nawafuata shuleni na vifaa vyangu niwanyoe harafu 10% ya mapato yangu ya hio siku atabaki shuleni kwa jili ya umeme niliotumia.
Wanafunzi zaidi ya 50 nitawanyoa kwa bei ya sh 500 kila mmoja na chini yawanafunzi 50 nitawanyoa kwa sh.1000.Mimi kazi yangu ni kunyoa na ni kinyozi mzuri napatikana dar es salaam/buza nawahakikishia huduma nzuri na salama kwa sababu itapunguza wanafunzi kutoka nje ya shule kwenda kunyoa na kukutana na vishawishi huko na watakua wasafi kila siku.
Kwa mawasiliano nitafute kwenye namba 0652002828.Tafadhali wafahamishe wakuu wa shule, ndugu na marafiki kwa hii habari .Karibu sana na kama kuna ushauri naupokea kwa furaha.
ASANTENI SANA.
Amen na Mungu akubarikiHigh thinking capacity.
Mungu aitawale kazi yako.
Post sent using JamiiForums mobile app
hongera kwa wazo zuri ongeza juhudi kwenye kulitangazaHabari zenu wakuu?baada ya kukusanya ka mtaji sasa nimenunua machine za kunyoa nywele, sterilizer na vifaa vingine.Lengo langu ni kulenga kundi la watu kwa kua na mobile saloon(salun).
Hapo nimelenga:familia,shule za boarding,vituo vya wototo yatima etc...,Kwa mfano kuliko watoto ambao wanakaa bwenini watoke nje kwenda kunyoa,mimi nitakua nawafuata shuleni na vifaa vyangu niwanyoe harafu 10% ya mapato yangu ya hio siku atabaki shuleni kwa jili ya umeme niliotumia.
Wanafunzi zaidi ya 50 nitawanyoa kwa bei ya sh 500 kila mmoja na chini yawanafunzi 50 nitawanyoa kwa sh.1000.

Mimi kazi yangu ni kunyoa na ni kinyozi mzuri napatikana dar es salaam/buza nawahakikishia huduma nzuri na salama kwa sababu itapunguza wanafunzi kutoka nje ya shule kwenda kunyoa na kukutana na vishawishi huko na watakua wasafi kila siku.

Kwa mawasiliano nitafute kwenye namba 0652002828.

Tafadhal wafahamishe wakuu wa shule,ndugu na marafiki kwa hii habari .

Karibu sana na kama kuna ushauri naupokeya kwa furaha.
ASANTENI SANA.