Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Wanabodi,

Na declare interest: mimi ni muumini mzuri wa kununua machangudoa Sinza hivyo taarifa hii inatoka katika vyanzo vyangu vya ndani.

Kuna changudoa mmoja yupo Sinza Africa sana, huwa anakaa jirani kabisa na Ambiance na bar za jirani..

Changudoa huyo mweupe (sina hakika kama ni weupe OG), ana lafudhi ya Kisukuma. Chagudoa huyu amekuwa akilalamikiwa na wenzie kwa kujihusisha na imani za kishirikina katika biashara yake ya kujiuza.

Moja, amekuwa akishutumiwa kuwa anawafanyisha mapenzi wanaume na misukule. Hivyo wanaume huwa hawafanyi mapenzi na yeye bali wanafanya na misukule kwa kivuli chake yeye.

Mbili, amekuwa akitumia dawa za miti shamba ili kuvuta wateja. Amekuwa akishawishi na wenzie waende kusafisha nyota ili wapate wateja zaidi.

Tatu, amekuwa bingwa wa kuwapa dawa za kienyeji machangudoa wenzie ili kuondoa uchovu hasa wanapokuwa na wateja wengi. Kwa muujibu wa machagudoa ni kwamba ukipata wateja wengi usiku mmoja mda mwingine unapata hata kizungu zungu sababu ya uchovu hivyo binti huyu amekuwa akiwapa wenzie dawa ili waweze kufanya siku nzima bila kuchoka.

Nne, amekuwa akiwapumbaza wanaume na kuwaibia pesa kishirikina. Hivi jana ameiba milioni kumi za mfanyakazi wa idara nyeti akiwa na mwezie mmoja. Mwenzie amekamatwa lakini yeye hajulikani alipo. Ila haijafahamika ofisa huyo aliibiwaje milioni kumi, alitoka nazo wapi na alikuwa anaenda nazo wapi?

Tano, amekuwa akitengwa sana na wenzie kwakuwa inasemekana changudoa aliyekaribu nae huwa hafanyi kabisa biashara. Wanadai anawaibia nyota wenzie na huwa anapanga vichwa balaa bila kupumzika, 24x7.

Wasifu wake: Binti wa kisukuma, ana watoto watatu, mwanaume aliyezaa nae mtoto wa tatu anaishi Mwanza na huyo mwanaume anajua kazi ya mke wake lakini hana usemi kwasababu zinazoaminiwa za kishirikina.

KAMA ULIKUWA HUJUI: Hata machagudoa wanaamini Mungu yupo, kuna machangudoa wanasema kama wewe sio mshirikina ni bora kumuomba Mungu. Kwakuwa katika biashara zao kuna chuki na visasi sana, huwa wanatupiana mpaka majini.

Mi sijataja jina la mtu, tafadhali dada usinitafute
Mkuu hamia kwenye Punyeto tu
 
Ukiamini ushirikina waweza UA familia yako yote! Jiulize tu maswali ya kitoto na yasiyomuhitaji Tundu Lissu au Kabudi...
  • Kaiba mpaka milioni 10 bado tu anaendelea na umalaya! Really?!
  • Anawapa dawa za kupunguza uchovu (madawa ya lulevya)..
  • Anawafanyisha wateja na misukule?! Really?! Watakuwa wadada mateja na yamedungwa ma-heroin
  • Anafanya madawa kuiba wateja wa wenzake, really? (Ni sababu anajuwa customer services tu nyie wapumbafu)!
  • ...
 
Wanabodi,

Na declare interest: mimi ni muumini mzuri wa kununua machangudoa Sinza hivyo taarifa hii inatoka katika vyanzo vyangu vya ndani.

Kuna changudoa mmoja yupo Sinza Africa sana, huwa anakaa jirani kabisa na Ambiance na bar za jirani..

Changudoa huyo mweupe (sina hakika kama ni weupe OG), ana lafudhi ya Kisukuma. Chagudoa huyu amekuwa akilalamikiwa na wenzie kwa kujihusisha na imani za kishirikina katika biashara yake ya kujiuza.

Moja, amekuwa akishutumiwa kuwa anawafanyisha mapenzi wanaume na misukule. Hivyo wanaume huwa hawafanyi mapenzi na yeye bali wanafanya na misukule kwa kivuli chake yeye.

Mbili, amekuwa akitumia dawa za miti shamba ili kuvuta wateja. Amekuwa akishawishi na wenzie waende kusafisha nyota ili wapate wateja zaidi.

Tatu, amekuwa bingwa wa kuwapa dawa za kienyeji machangudoa wenzie ili kuondoa uchovu hasa wanapokuwa na wateja wengi. Kwa muujibu wa machagudoa ni kwamba ukipata wateja wengi usiku mmoja mda mwingine unapata hata kizungu zungu sababu ya uchovu hivyo binti huyu amekuwa akiwapa wenzie dawa ili waweze kufanya siku nzima bila kuchoka.

Nne, amekuwa akiwapumbaza wanaume na kuwaibia pesa kishirikina. Hivi jana ameiba milioni kumi za mfanyakazi wa idara nyeti akiwa na mwezie mmoja. Mwenzie amekamatwa lakini yeye hajulikani alipo. Ila haijafahamika ofisa huyo aliibiwaje milioni kumi, alitoka nazo wapi na alikuwa anaenda nazo wapi?

Tano, amekuwa akitengwa sana na wenzie kwakuwa inasemekana changudoa aliyekaribu nae huwa hafanyi kabisa biashara. Wanadai anawaibia nyota wenzie na huwa anapanga vichwa balaa bila kupumzika, 24x7.

Wasifu wake: Binti wa kisukuma, ana watoto watatu, mwanaume aliyezaa nae mtoto wa tatu anaishi Mwanza na huyo mwanaume anajua kazi ya mke wake lakini hana usemi kwasababu zinazoaminiwa za kishirikina.

KAMA ULIKUWA HUJUI: Hata machagudoa wanaamini Mungu yupo, kuna machangudoa wanasema kama wewe sio mshirikina ni bora kumuomba Mungu. Kwakuwa katika biashara zao kuna chuki na visasi sana, huwa wanatupiana mpaka majini.

Mi sijataja jina la mtu, tafadhali dada usinitafute
Huyo mbona anajulikana ila kukamatwa tu ndio iko shida...!

Wakati wa maandalizi ya uchaguzi mwaka 2015 si ndio alienda Picnic Arusha akalala na officer mmoja aliyetumwa kupeleka mabox ya kuhesabia kura kanda ya kaskazini..usiku akajipaka dawa kwenye maziwa, mheshimiwa kaanza na romance kwny lips kufika kifuani akalala na kukoroma hadi kesho yake muda wa lunch.

Bibie kaondoka na pesa nyingi haswa na ufunguo wa gari na akahama Arusha naskia alienda Mwanza.

Wakuu wa chama hawakutangaza kwani ingekuwa aibu kubwa kwa chama.

Jamaa alitimuliwa kimyakimya.

Huyo Mwanamke ni hatari sana kwa kuiba kichawi ila nayeye pesa zake huwa hazimsaidii abadilike.
 
Kwahiyo munawar ushaufanya msukule?
Hiyo ya kuwatumia misukule ni hivii huyo mwanamke ana dawa yake flani kabla hajaonana na mwanaume anachanganya na mafuta ya kujipaka anajipaka usoni kwahiyo wanaume wanakuwa wanamwona yeye tu

Halafu mkiingia chumbani anajipaka katika sehemu zingine za mwili hapo unajikuta unatoa hela zote unamkabidhi yeye na yeye kuna kiasi anapeleka kwa mganga wake.

Kuna kipindi alikuwa anaingia chumbani anaonekana ni yeye ila nafsi yake inabaki nje hlf mwanaume anamgonga mtu mwingine ambae huyo dada alimtoa kimazingara kijijini kwa mganga wake ili yeye asichoshwe.

Ni mzuri haswa huyo mwanamke, ana self za kupangisha Mwanza, Dsm na Arusha ila yeye hajajenga.

Mchana anavaa hijab na hatoki nje, wanaomchafua sasahv ni wenzake akiwepo mdogo wake kabisa.
 
Unaacha papuchi salama nyumbani unaenda sinza
Huko kuna mengi ya kujutia mkuu...Kristo akiwa ndani ya mtu hayo maovu yanamkimbia mbali.

Namshukuru Mungu kunitoa huko nikiwa ingali mdg...namhurumia sana best friend wangu & classmate, Handsome kbs yeye ndio wa huko hivi leo...na huwa hataki kuwa kwny mahusiano kuogopa stress....nikifikiria destiny yake...Daah.
 
Daaaahh, mbona wasifu wake kama TINA white??? inamaana kila wiki namuungisha alafu ananit*mb3sha mizukule??
Kesho naenda kumtafuta.
 
Wanabodi,

Na declare interest: mimi ni muumini mzuri wa kununua machangudoa Sinza hivyo taarifa hii inatoka katika vyanzo vyangu vya ndani.

Kuna changudoa mmoja yupo Sinza Africa sana, huwa anakaa jirani kabisa na Ambiance na bar za jirani..

Changudoa huyo mweupe (sina hakika kama ni weupe OG), ana lafudhi ya Kisukuma. Chagudoa huyu amekuwa akilalamikiwa na wenzie kwa kujihusisha na imani za kishirikina katika biashara yake ya kujiuza.

Moja, amekuwa akishutumiwa kuwa anawafanyisha mapenzi wanaume na misukule. Hivyo wanaume huwa hawafanyi mapenzi na yeye bali wanafanya na misukule kwa kivuli chake yeye.

Mbili, amekuwa akitumia dawa za miti shamba ili kuvuta wateja. Amekuwa akishawishi na wenzie waende kusafisha nyota ili wapate wateja zaidi.

Tatu, amekuwa bingwa wa kuwapa dawa za kienyeji machangudoa wenzie ili kuondoa uchovu hasa wanapokuwa na wateja wengi. Kwa muujibu wa machagudoa ni kwamba ukipata wateja wengi usiku mmoja mda mwingine unapata hata kizungu zungu sababu ya uchovu hivyo binti huyu amekuwa akiwapa wenzie dawa ili waweze kufanya siku nzima bila kuchoka.

Nne, amekuwa akiwapumbaza wanaume na kuwaibia pesa kishirikina. Hivi jana ameiba milioni kumi za mfanyakazi wa idara nyeti akiwa na mwezie mmoja. Mwenzie amekamatwa lakini yeye hajulikani alipo. Ila haijafahamika ofisa huyo aliibiwaje milioni kumi, alitoka nazo wapi na alikuwa anaenda nazo wapi?

Tano, amekuwa akitengwa sana na wenzie kwakuwa inasemekana changudoa aliyekaribu nae huwa hafanyi kabisa biashara. Wanadai anawaibia nyota wenzie na huwa anapanga vichwa balaa bila kupumzika, 24x7.

Wasifu wake: Binti wa kisukuma, ana watoto watatu, mwanaume aliyezaa nae mtoto wa tatu anaishi Mwanza na huyo mwanaume anajua kazi ya mke wake lakini hana usemi kwasababu zinazoaminiwa za kishirikina.

KAMA ULIKUWA HUJUI: Hata machagudoa wanaamini Mungu yupo, kuna machangudoa wanasema kama wewe sio mshirikina ni bora kumuomba Mungu. Kwakuwa katika biashara zao kuna chuki na visasi sana, huwa wanatupiana mpaka majini.

Mi sijataja jina la mtu, tafadhali dada usinitafute
Mpaka umeyajua haya yote kweli wewe mteja haswaa.unastahiri tuzo ya "UZINZI"
 
Back
Top Bottom