Sasa mm jinaekunywa bia 2 naanza kutukana hovyo nikinywa hizo 4 akija si nitampiga kabisa .
Ukute ndugu mwenyewe mnywaji sasa akifika chakwanza kibao anaanza kunituhumu mm mchoyo nimekunywa zote
Mzee kashituka kaona akikata kamba hata kabla ya msiba kesi hii apa na bei ishaongelewa mzee yupo sawa unakuta litoto halijitumi linasubiria ufe liaze kushuhulikia ulichokitafuta kwa jasho ila kama watoto wanapambana na wanamaono angewapa hakuna mzazi anataka mwanae ateseke ila kama...
Nishakutwa mara 2 yakwanza alikuja nduki akasema baba unampiga mama ikabidi niendelee na mawazo yake dogo akachukia nimempiga mama yake
Ya 2 alinikita ndio tunaanza mabusu mengi na yeye akaunga namimi baba nibusu nikamusu la kawaida ikapotezewa hiyo
Ikatokea amempatia mtoto chakula kisha huyo dogo akaumwa au kufa itakuwaje? Mim sigawi chochote kwa mtu nisie mfahamu hata kama atakaribia kufa niheri ninnunulie kuliko kumpa nilichonacho
Hapo ni sawa na kupambaza kujaza maji kwenye pipa lililo toboka unaweka ndoo 1 yanavuja ndoo 2 hata yaliyokuwepo yanaisha ni bora waendelee kutumia kinga za potable
Naomba ishauri kama inawezekana ,najua humu wapo wazoefu na mafundi wenyewe.
Nimejenga kajumba kakuishi sasa nimeweka bajeti ya umeme sasa nilisikia kuna kununua nguzo hilo mimi sikujali maana hapa jirani yangu ng'ambo ya barabara kama mita 20 pana transfoma hii ndio inasambaza umeme mtaa huu...
Nilifuga. Kijijini kipindi hicho nilikua na uwezo kuku mooja akawa na vifaranga hadi 40 hadi watu wanashangaa imekuaje
Nilikua na kuku kazi yake ni kutaga tu hana biashara ya kulalia mayai.
Mwingine nikunywa mayai tu qnataga anakunywa hadi ya wenzie mpuuzi yule nilimla supu tena ilikua ijumaa...
Kuna kitu hua nashindwa kuelewa kuhusu hizi mashine kuna hizi mashine za kichina kwanzia laki na nusu nakuendelea je zinatofautiana nini wakati zote zina Current sawa ? Kwann zitofautiane bei na kuna hizi za kusuka nazo zina tofauti na hizi za kichina kwenye utendaji? Je mtu alichoma kwakutumia...
Watekwe na wauwawe haswa huku mtaani wanaojifanya miungu kupiga watu kalazimisha mambo kutembea na wake za watu kisa jeshi huko ndipo sehemu ya kujitambia sio mtaani uwanja wa fisi
11 mimi hapa nilikimbia form two nikala vibarua mtaani vya umeme nikaenda veta level 2 nikakimbia tena saivi nachukua tenda mbalimbali na mwajiri engeneer atumie vyeti vyake badala yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.