Recent content by Mwananzengoo

  1. Mwananzengoo

    Kitu gani kilikusikitisha zaidi 2016?

    Ikulu kufadhili Mikutano ya Chama na umma kuona kitu cha kawaida
  2. Mwananzengoo

    Picha ijayo ya ajira kwa shule binafsi

    Uko sahihi mkuu. Wako wengi sana mitaani. Na unajua tena kwa tulivyozoezwa tangu ukoloni kwamba ukisoma sharti uajiriwe.
  3. Mwananzengoo

    Mh. Rais, shule binafsi wamejaa vihiyo wenye vyeti feki

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uzuri na ubaya wa private sector hawalipi cheti, wanaangalia ni nani anaye-deliver. Siyo uende private sector na degree yako wakati you are not adding value to the particular institution, watakulipa kama mtu mwenye certificate. Mhimu kwa sekta ya walimu wawe...
  4. Mwananzengoo

    Baada ya vyuo kufungiwa, shule binafsi kufata

    Mmmmh Mbona shule binafsi ziko vizuri ukilinganisha na zile za umma mkuu?
  5. Mwananzengoo

    Waziri wa Elimu, Tunasubiri tamko la Ada elekezi shule binafsi

    Yapo yanayowezekana na mengine hayawezekani. Kwa hili utasubiri sana.
  6. Mwananzengoo

    DMO Iramba aikashifu serikali ya Magufuli mbele ya Jafo

    Nimekimbilia kusoma post nikidhani DMO kakashifu. Hapa Najifunza kitu kimoja tu, kwamba watz tunapenda kuishi kwa kutosema kweli. Sijaona kosa la daktari hapo. Tunajenga taifa la waoga wa kupindukia. Hongera DMO you have played your role.
  7. Mwananzengoo

    Paul Makonda amsimamisha kazi Mhandisi Mkuu wa Mkoa

    Hivi Engineer mkuu wa mkoa ndiyo yupi tanroads manager, au mhandisi wa manispaa.?
  8. Mwananzengoo

    Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

    Ubaya wa katiba yetu ni kutoa madaraka mkubwa MNO kwa rais. Rais wa Tanzania ana madaraka kuliko yule wa marekani. Mnaomba Mungu msipate rais atakayesita kutumia udhaifu wa katiba yetu. Suala la UDOM lina maswali zaidi ya milioni magumu. Sioni dalili za kiongozi wetu na hata Chama tawala...
  9. Mwananzengoo

    Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    Ameongea UKWELI usiopendwa na wengi. Kwamba tunafundishwa na waliofeli. Unategemea taifa la namna gani! Waoga wasiojitambua
  10. Mwananzengoo

    Serikali imefuta mchakato wa kutangaza ada elekezi kwa shule binafsi

    Naambiwa wakenya hawatamani kupeleka watoto wao private school kwa vile shule za serikali zimeendelea kusomeshwa na hata wanaelekea kumpatia kila mtoto laptop. Serikali ya tz iziimarishe shule za umma, badala ya kuhangaika na kuzishika shati private. Wakiboresha hakuna atakayepeleka private...
  11. Mwananzengoo

    Serikali imefuta mchakato wa kutangaza ada elekezi kwa shule binafsi

    Mkuu uko sahihi hii kitu ilishawahi kuwashinda huko nyuma. Kwa sasa ada ya mwanafunzi wa shule ya serikali iko juu kuliko ya private. Inahitaji umakini kulitambua hili. Na watu wengi hawafahamu.
  12. Mwananzengoo

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Umesema jibu kubwa sana nikafikiri limawahusu watanzania wote. Si watu wote wanataka ajira serikalini.
  13. Mwananzengoo

    Ninaacha Ualimu tangu leo

    Dah Unanikumbusha nilivyoacha kazi serikali za mitaa tena nikiwa mkuu wa idara 2009. Hongera. Kutoka misri yataka moyo! Watu watakucheka na watakukejeli kikubwa stay focused. Kuna ugumu wake nje ya misri. Baadaye maisha yataendelea ktk uhuru. Binafsi baadaye nilijuta kwa nini nilipoteza muda...
  14. Mwananzengoo

    Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

    Mnasema mabaya tu ya hizi shule za English Medium. Mbona hamsemi mazuri yake? Na mbona hamsemi ukweli kuwa shule za kitanzania zinafundishwa na walimu WALIOFELI mitihani?
Back
Top Bottom