Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

Tanzania imejaa watu wengi wenye mtazamo kama yako.
1.hamkubali kuwa kenya na uganda wako mbele kielimu
2.hamkubali kuwa hata watumishi wa kitanzania ni wavivu na wezi ndiyo maana makampuni ya nje inapenda kuajiri wakenya na waganda.
3.kama mnaamini kwa dhati kuwa mko sawa kielimu kwa nini msifanye kama european union raia wa east africa waruhusiwe kufanya kazi kokote bila permit?halafu muone hizo degree zenu za tumaini university mtapeleka wapi?wako poor kwa hata grama.
4.hamkubali baba yenu wa taifa alikuta elimu nzuri kutoka ukoloni akavuruga.
5.viongozi wote wa serikali ya tanzania kwa nini watoto wao hawakuwaacha wasome shule ya kawaida kama walikuwa wanaamini kama nyerere?ulikuwa ukienda st constantine na arusha school unakuta watoto wa vigogo wote from nyerere family,karume,sokoine.kama wakina namelo sokoine,amina na halima karume,kevin na matare nyerere.
6.Tanzania hamna tabia ya kusoma ni porojo nyingi ukipanda basi au treni nchi zenye tabia ya kusoma utakuta abiria karibu wote na vitabu wanasoma,tanzania porojo njia yote.
7.raia wenye uwezo wengi watoto wao wanasoma kenya au uganda na hao ndiyo wako kwenye uhalisia (reality)
8.hizo shule zenu za serikali ya waalimu waliofeli ndiyo inauwa elimu ambayo ina wanafunzi asilimia 95 nchini
 
kuna siku kikwete alisema kuwa alisafiri na mtanzania kwenda wingereza sasa huyu mbongo alikuta mtoto wa kizungu akiongea english yule mbongo alimuuliza kikwete kuwa hv uyu mtoto kasoma sana mpaka anaongea kingereza
 
Mkuu uko sahihi sana Nadhani lugha iko likely zaidi kuliko ability ya mtu ila tu ni vitu viwili differ kabisa Lugha na akili ni tofauti mwenye uwezo wa akili hata kama hajui lugha sana still atapambanua mambo na kukabiliana na challenge na lugha sio usomi siku akikaa chini na kuamua kujifunza lugha ambayo ni likely bax atakuwa competent sana na yule kilaza mweye ujuzi wa lugha atakuwa ovyoo tyu
 
Ulichokisema mleta mada ni ukweli mtupu, mm pia nimefundisha shule za namna hyo na inasifiwa kwa kufaulisha ila ni weupe vichwani ni balaa lakin utashangaa mitihani ya taifa wanafaulu. Na kingine kwa hizo shule wamiliki wa hizo shule ni wanyanyasaji wa wafanyakazi wao vibaya sana huku wakilipwa mishaara midogo sana. Vilevile walimu wanaofundisha hizo shule asilimia kubwa hawajasomea huo ualimu. Inasikitisha sana sijui serikali kupitia wakaguzi wa shule wanafanya nini maofisini. Mfano halisi wa haya nendeni shule moja iliyopo Lushoto mkoani Tanga inayoitwa Rosmini English medium primary school, mtajionea mengi zaidi ya haya pamoja na mkurugenz wa hyo shule kutembea na wafanyakazi wake wa kike.
 
kuna watoto wa international school flani hivi ipo Arusha nilishangaa kuona eti hawajui ng'ombe ana miguu mingapi, moja kwa moja ikanipa picha kuwa yawezekana hata ng'ombe mwenyewe hawamjui... inasikitisha sana.
It is so sad!.
 
Kweli sio zote...Ila asilimia 95 zinafanya haya nayoyasema..Nimekuwa mwalimu kwenye hizi nazijua in and out..Wewe unasema zinawajenga watoto ndio wazazi wengi mnaaminishwa hivyo, zinawajenga kwenye nini labda?? wewe unazosema zinawajenga zipo ila sio hizi zenye wateja wengi..Wengi hapa hawawezi peleka hizo shule eg intl sc of Tanganyika, Feza nk zipo chache...

Mjiulize ile St Marrys iliyokuwa na watoto bora kabisa kwa nini imekufa? Ile product yake si mmesoma nayo mbeleni je walikuwa bora kama mlivyoaminishwa? ...Serikali iingie kuzikagua kiukweli kama ilivyofanya New Ambassador international ya zamani,hiyo shule ilikuwa ndio shule namba moja kitaifa kwa primary level ilipotegewa mtego ikakutwa ni haya nayoyasema...Leo ipo wapi?

Wewe unaongea mambo kwa kuyatafiti kwanza!sema wanaopinga hawajakuelewa kabisa!,Lakini umeongea ukweli mtupu!,Asante kwa kututoa matongotongo.
 
Wengine uongea English wanapoona mzaz yuko mazingira ya shule au uko ofisini kwao lakin walimu walio chumba cha 2 wako na kiswahili chao unapogonga hodi na huko ghafla ubadiri lugha, nikagundua kuwa hawa wanapomuona mzaz ujifanya wanaongea English 24 hrs kitu ambacho si kweli.Tukienda jilan hapa Uganda nikawaida vijana walio maliza 4 na 6 unakuta wanaendesha bodaboda, miongon mwa hao ndo tunapata eti walimu
 
Mnasema mabaya tu ya hizi shule za English Medium. Mbona hamsemi mazuri yake? Na mbona hamsemi ukweli kuwa shule za kitanzania zinafundishwa na walimu WALIOFELI mitihani?
 
Usalama wa watoto wetu pia upo shakani...angalia dereva huyu wa gari la shule, akiwa na watoto wadogo alivyokua anajaribu kuwawahisha majumbani....ilikua ni 15.07.2015

IMG_20150715_154939.jpg IMG_20150715_154947.jpg IMG_20150715_154954.jpg IMG_20150715_155003.jpg IMG_20150715_155013.jpg
 
Hehe mkuu umenikumbusha mbali sanaaa... Miaka miwili iliyopita nilikuwa nimetoka malysia kusoma,, nilikuwa huko kwa miaka kadhaa,, nilipo rudi nikakuta mdogo wangu yupo darasa la sita hizi shule ya medium.. Yaaani wamekalilishwaa sanaa aisee,,, one day tulipishana na kauli na huyoo mtoto maaana ni ka jeuri hatari na si unajua hivi vilast born vilivyo...
‘‘ nikamwambia norah bring ur ASS here‘‘

Alinijibu i dnt have a “donkey“

Hehehehe
 
Kuna asilimia za ukweli kwenye hili na ndio maana mwisho wa siku mzazi lazima ufuatilie maendeleo ya mtoto wako kwa ku-run reasonableness tests kuona kama anaelewa ama la. Kuhusu hilo la kufanyiwa pepa hasa zile za mwisho (std 7 na 4) nafikiri sio sawa maana kama ingekuwa hivo watoto wote wangeishia A ama B kwenye masomo yao. Lakini ukicheki matokeo wanapata A karibu wote in english lakini maths, science na maarifa watoto wana C na D kibao. Yaani matokeo mseto ambayo mtu huwezi kusema haya yamefanywa na mtu mmoja. Mwisho wa siku uelewa wa mambo ni pamoja na uwezo wa kuwasiliana pia. Katika ku-test ubora wa elimu niliwahi kuwapa watoto wawili catoon za Kingo kwenye magazeti nikawambia waandike story walivyoelewa kwenye cartoon, aise walijibu vizuri sana kitu ambacho hata sisi watu wazima wengi hatuwezi. Key thing ni lazima uwe unatest maendeleo na skills mastering za watoto wako mara kwa mara hata kama wanasoma kayumba.
 
Kuna ukweli mwingi sana hapa...Mungu saidia elimu yetu...RIP Nyerere, utaendelea kuishi.
 
Ziwa manyara sijui ASP inakusaidia nn kitu language mkuu watu tulikuwa tunajua miji mikuu na majiji yote makubwa sasa hivi ngeli Ni tatizo achana na civics mkuu tapika yai vizuri kwanza
 
Tanzania imejaa watu wengi wenye mtazamo kama yako.
1.hamkubali kuwa kenya na uganda wako mbele kielimu
2.hamkubali kuwa hata watumishi wa kitanzania ni wavivu na wezi ndiyo maana makampuni ya nje inapenda kuajiri wakenya na waganda.
3.kama mnaamini kwa dhati kuwa mko sawa kielimu kwa nini msifanye kama european union raia wa east africa waruhusiwe kufanya kazi kokote bila permit?halafu muone hizo degree zenu za tumaini university mtapeleka wapi?wako poor kwa hata grama.
4.hamkubali baba yenu wa taifa alikuta elimu nzuri kutoka ukoloni akavuruga.
5.viongozi wote wa serikali ya tanzania kwa nini watoto wao hawakuwaacha wasome shule ya kawaida kama walikuwa wanaamini kama nyerere?ulikuwa ukienda st constantine na arusha school unakuta watoto wa vigogo wote from nyerere family,karume,sokoine.kama wakina namelo sokoine,amina na halima karume,kevin na matare nyerere.
6.Tanzania hamna tabia ya kusoma ni porojo nyingi ukipanda basi au treni nchi zenye tabia ya kusoma utakuta abiria karibu wote na vitabu wanasoma,tanzania porojo njia yote.
7.raia wenye uwezo wengi watoto wao wanasoma kenya au uganda na hao ndiyo wako kwenye uhalisia (reality)
8.hizo shule zenu za serikali ya waalimu waliofeli ndiyo inauwa elimu ambayo ina wanafunzi asilimia 95 nchini

Yani nyie wakenya mna safari ndefu..Hapa inazungumziwa ELIMU sio LUGHA.Tofautisha Elimu na Lugha.haya ndio yanayozungumzwa hapa, unaposema waTz hawana elimu kwa kuwa hawajui grammar kama ndio nyinyi walimu wa hizo English medium nikikusikia live namuhamisha mwanangu.
Mwisho mtasema na Wajerumani hawajaelimika kwa kuwa hawajui kingereza.
 
Ziwa manyara sijui ASP inakusaidia nn kitu language mkuu watu tulikuwa tunajua miji mikuu na majiji yote makubwa sasa hivi ngeli Ni tatizo achana na civics mkuu tapika yai vizuri kwanza

Bila general knowledge maisha yako sasa hivi yatakuwa magumu. kuanzia kwenye interviews mpaka kwenye ufanyaji kazi..dunia ya sasa kama hauna content kichwani utabaki na kingereza chako watu wanachemsha na vingeteza vyao
 
Ujue tatzo lugha ndio inawakoshaa wazaz ila hamna kitu
 
Kabla mtu hajampinga mleta uzi hembu ajiulize kuwa :

1.elimu ni nini ?
2.china inatumia lugha gani kufundishia shuleni ?
3.ili uitwe msomi lazima ujue kuongea kiingereza ?
4.mababu zetu hawakuwa na elimu kwa kuwa wengi hawakujua kiingereza ?
5.mtoto akiulizwa swali kwa kiingereza akalikosa, likatafasiriwa kwa kiswahili akalipata ! Je utamuita mjinga ?
 
kuna watoto wa international school flani hivi ipo Arusha nilishangaa kuona eti hawajui ng'ombe ana miguu mingapi, moja kwa moja ikanipa picha kuwa yawezekana hata ng'ombe mwenyewe hawamjui... inasikitisha sana.
mkuu watoto wanasoma arusha hawamjui ng'ombe? ingekuwa mtwara ningekubali kwa 40% lakn arusha nakataa kwa 99%
 
Asilimia 98 wamefaulu form six. Sasa sijui waiongelea nchi ipi?
 
Back
Top Bottom