Recent content by MWananyati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Post Covid19 School Fees: Precious Schools inakomoa wazazi

    SCHOOL FEES: PRECIOUS SCHOOLS INAKOMOA WAZAZI Kwanza ni pole kwa wale wote ambao kwa namno moja wamepoteza ndugu zao wapendwa kwa mlipuko wa ugonjwa wa Korona. Mwenyezi Mungu awape roho ya ustahimilifu kwa kuondokewa na wapendwa wetu. Mada: 1. Baada ya Serikali kutangaza kurejea kwa shughuli...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SERIKALI imeahirisha ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 ya Expressway hadi miradi mingine ikamilike

    Nafikiri uliositishwa sio mradi wa Kimara-Kibaha. Ni ule ambao ungetoka Chalinze kupitia huku luguruni Hadi Kurasini/bandarini
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Stream Arsenal vs Spurs

    Jamani kuna yeyote anafahamu wapi naweza kuona live streaming ya hii game?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na ACT Wazalendo, viongozi wa halmashauri iliyopata hati chafu

    Naomba utupatie na majina ya hizo halmashauri zingine na wabunge wake tujue ni wakina nani, na kama wameshafanya press conference.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakubeti.... BIKO Sports ni wasanii....

    Salamuni..... Nimekuwa nafatilia sana michezo ya betting, na nikawa nimependelea kucheza na Bikosports. yaani, najuta hawa jamaa ni wasanii balaa. Leo kulivyo na mechi nyingi Ulaya katika nchi mbalimbali, Jamaa wa biko wameamua kuweka mechi chache tena kutoka katika baadhi ya Ligi. Ligi nyingi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya wakili wa Serikali dhidi ya Sugu, Serikali inahusika na Wasiojulikana

    Wasiwasi wangu mie ni "usalama" huko gerezani. Mungu awanusuru.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Simbeye: Sekta binafsi hali ni 'tete'

    Bwana huyu mimi huwa simuelewi kabisa anachokuwaga anakiongeleaga mara zote. Tumevurugwa
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Wajumbe wa mpira, Igweeeee! Naulizia online streaming ya pambano la leo kati ya Madrid na Spurs itarushwa kupitia wapi? mwenye msaada please. M.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Basi bora la kwenda Mwanza kutoka DSM

    Sitaki:mad::mad::mad:
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Basi bora la kwenda Mwanza kutoka DSM

    Wadau, Salamuni. Kama nilivyoainisha kwenye somo, ningependa kujua basi bora la kwenda Mwanza. Natokea Dar.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa washwa

    Hahahahahaaaaaa! Labda tumuulize RZ1 atakuwa ameelewa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

    Na yule shahidi muhimu mwingine aliyejulikana kama MR Y mbona humtaji?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuishitaki nyumba ya ibada iliyo jirani na nyumba yangu

    Kweli inafikirisha.... Ila mimi sidhani imani inatengenezwa na vitisho hivyo, bali hutoka ndani ya mtu. Ukishitaki ukafanikiwa utakuwa umesaidia wengi... hayo maneno si mema kabisa. Watumie ,mbadala ya kuleta matumaini na sio hofu. Pole sana, nawazza tu hao watoto wako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: TEF ni jukwaa lisilo na nguvu yeyote kisheria,hawana nguvu kwa mwandishi wala chombo chochote

    Hypocrite!.... angesema haya wakati ule tU tukio limetokea, na hatua ambazo TEF ilichukua ningemuelewa. Lakini kuongea saivi wakati tumeona mkuu wa nchi ameamua kuingilia (kutatua???) tatizo na TEF kuwa submissive to RC ni upumbavu. Kingine hajatoa maelezo kuwa kilichofanyika pale Clouds ni...
Back
Top Bottom