Wakubeti.... BIKO Sports ni wasanii....

MWananyati

Senior Member
Feb 3, 2011
160
53
Salamuni.....

Nimekuwa nafatilia sana michezo ya betting, na nikawa nimependelea kucheza na Bikosports. yaani, najuta hawa jamaa ni wasanii balaa. Leo kulivyo na mechi nyingi Ulaya katika nchi mbalimbali, Jamaa wa biko wameamua kuweka mechi chache tena kutoka katika baadhi ya Ligi. Ligi nyingi Mf, Austria, Scotland, Wales, Czeck etc hazipo. Nyingine wamechagua kati ya mechi 7 zilizopo wanaweka moja tu.


Ni dalili ya kushindwa katikagame? waondoke kama hawawezi na sio kujitangaza kupitia EFM kuwa wana ODDS tamu...
 
mbona option zake hua ni mbaya.sana au kwenye mtamdao ni nzuri!!maana ndio nlianza kujifunzia kubet !!kila siku nlikua napigwa
Huwa hawana optn nyingi ila mimi nimewazoea sana ndio maana nawapa mashavu adi humu
 
Back
Top Bottom