MWananyati
Senior Member
- Feb 3, 2011
- 160
- 53
Jamani kuna yeyote anafahamu wapi naweza kuona live streaming ya hii game?
Nenda kwenye browser yeyote andika Hesgoal.com hapo ndo nyumbani kwenye swala la live streaming sio leo tu na siku zijazo utajuta mb zako tuJamani kuna yeyote anafahamu wapi naweza kuona live streaming ya hii game?
Mkuu ulitaka nani afungwe?Spurs jau