Recent content by mwanantala79

  1. M

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    Asante Mtumishi wa Mungu Baba Askofu Kazoba kwa kutokua mnafiki, wengi tulitegemea Baraza la Maaskofu Katoliki kutoa tamko la kujitenga na msimamo binafsi wa Askofu Dallu
  2. M

    Ushauri: Nimepiga mtu kisa usaliti wa mapenzi

    Huyu jamaa ni hamnazo kwelikeweli, jogoo halipandi hasira za nini? Basi kula hicho kitumbua kwa meno
  3. M

    VIP

    Hiyo kitu ilikuwa inakatika katikati unajikuta imekuwa kama gagulo
  4. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Yap! Umenielewa na nimekuelewa pia. Ikitokea binti amepata mimba lazima hatua stahiki zichukuliwe ili atambue na kujutia kosa, halafu mpe nafasi kwani atakuwa amejifnza kitu fulani, ndio maana nimeshtushwa na msimamo wa baba Askofu uliokinyume na biblia kwani hakuna kosa lisilo na msamaha kama...
  5. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Rafiki mpendwa kumbuka wengine wanapata mimba baada ya kubakwa nao je unasemaje? Lakini pia vaa viatu vya hao watoto wa kike uwe mmoja kisha upime mazingira wanayopatia hizo mimba. Lakini pia bado ninaamini kwamba Baba Askofu ametoa maoni yake ya mtu asiyejua changamoto za malezi kwani hajawahi...
  6. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Za kuambiwa ongeza na za kwako: Askofu hana mtoto, acha kumsaidia binti yako halafu uone joto lake baadae
  7. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Je ni kweli kuwa kama jamii hatuna mifano ya wototo waliojiendeleza kielimu baada ya kujirudi na kujutia makosa yao na sasa ni watu muhimu kwa familia na jamii? Je kwa kuwanyima elimu haiwezekani tukawa tunawanyima uwezo wa kutunza watoto wao na hivyo kuzalisha vibaka watakaozaliwa na hawa...
  8. M

    Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

    Inaonekana mtoa mada ni college student anayeumiza kichwa na hao viumbe ambao siku hizi thamani yao ni sawa na viti vya viti vya kwenye bus la kimbinyiko ! Unapanda na ukalia ukishuka mwenzio anakalia very simple!
  9. M

    Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

    Oooh my Gog! Kwanini upigane kwa ajili ya kiti cha basi?
  10. M

    Tanzania One s/msingi, O-level, A-level, UDSM apata shahada ya Uzamivu akiwa na miaka 30

    Moja ya makosa ni kufikiri kuwa kila mwenye Phd anafaa kuwa waziri au kiongozi. Wapo wenye hizo degree wana mambo ya hovyo mno
  11. M

    Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

    Ndiyo hayo ni manona yanatoka kwenye kichuguu mwanzoni mwa msimu wa mvua
  12. M

    Tusilaumiane Jinsi Zote Zinahusika kubomoa Mahusiano

    Namba 12, inabidi wadada wawe wavumilivu jamani , ni janga la wengi siku hizi, we angalia sangoma akisema tu anatoa booster ya hayo mambo anavyopiga hela
  13. M

    Nimeachana na msichana wangu haijapita mwezi kapata mwingine

    We jamaa husomeki! Sasa si umesema ulimwacha? Mbona unaonekana bado una mfuatafuata? Kwa hiyo baada ya kumwacha ulitaka ajinyonge? Kwa taarifa yako mapenzi ni sawa na kiti cha basi la shabiby ukishuka tu jua abiria mwingine anakisubiri basi kama ulikuwa na yale mapenzi ya zamani eti mwache...
  14. M

    Rais wa ufaransa na mkewe

    Hivi papuchi haizeeki?
  15. M

    Kwanini watu waliofika Chuo Kikuu hawawezi kujieleza kwa lugha moja?

    Ni mapungufu ya mfumo wetu wa elimu hautuandai kuwa wabobezi kwa kitu chochote, unavyowaona wakichanganya lugha ndio hivyohivyo na kwenye taaluma.
Back
Top Bottom