Ushauri: Nimepiga mtu kisa usaliti wa mapenzi

Ushauri: Nimepiga mtu kisa usaliti wa mapenzi

Pole mkuu ila naomba kwa sani yakonikulize, huko vizuri kua mijamboz huyawezi,unachoka mapema,jogoo hapandi mtungi,pirika zake mdada huziwezi kwenye kitanda au dakika 3 umemaliza na ukimaliza hurejei tena ndio mpaka mjaliwae au hujisikii kufanya? simanishi kwa ubaya ki roho safi tuu..
Yan ni yule wa mbio ndefu mim zangu 3Min nishamaliza japo napiga hata 5 usku mzima......
 
Habari wakuu kwema,,, Miezi michache iliyopita kama 7 mpk sasa nilipta dada mmoja iv ila nilikuwa na wasi wasi maana niliona kama kanizid akil mana kapitia ving nilimkatalia akanilazimisha nikaona fresh so tukawa nae nikampa moyo wangu wote man nilikuwa sitak kubanduka kwake nilimpenda kuliko kawaida.

Lakin nilikuja gungua mim ni daraja lake mafanikio maana kitandani honestly nilikuwa siko vzr nikamwambia ok ntafind tiba ila usifanyie maksudi lakin hakusikia, nikawa nasikia kwa watu mara yupo na nan sijui anamsindikiza nani nikaona ok sina haja kujibizana nikawa kimya sas boss wake alisafiri kumbe alikuwa anatembea nae nilishajua hilo ndo maana nikataka kuachana kwa aman hakuelewa akaja kwangu analia sana nikamwambia nenda mana machoz hayasaidii akaenda akarud na kilio mara mbil nikaona isiwe shida nimsamehe atajirekebisha ila nikasema nitamfuatilia nikamfuatilia nikamuona boss wake anakuja kwako kama saa nne akalala mpk asubuh sikutaka kuleta varangati nikachukuka malapa ya nikatupa sasa huyu demu anakejel anajaribu ili kunisumbua nilishauadi nikamuambia ukifanya kitu mbya ntakufanyia kitu kibaya hutakaa unisahau....

Leo nipiga pombe kdg nikamfuta kwako nikampiga simu nikaona anajibu nusu nusu nikaingia mlangoni nikagonga alivyotoka nilimpa kibao moja nikamsukuma nikamwambia kesho nikiona simu yako kwako kwangu ntamuuua nikasepa niambien wakuu kama nimekosea.....

NOTE; I Hate being cheated mana sijawah hata kumsalit nampa chance kibao kwanin afanye ivyo asaiv hasira 0%......

Nawasilisha Wakuu
Ukiachwa shikamana,hata picha uoni kaka ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
23yrs old....
Mkuu nadhani unatatizo la saikolojia hebu jaribu kutuliza akili pindi uwapo faragha pia jiangalieee mfumo wa ulaji chakula kwani protini huwa ni msaada zaidi pia kushiriki mazoez utaona u tofauti

Pia kumbuka mapenz ni hisia kama huna hisia na mwenzio ni sawa na kuweka maji kwenye gunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je tiba ushapata? Tafuta tiba uwe fresh ndio uingie kwenye serious relationship, otherwise utakuwa unawafumania wapenzi wako kila siku.
 
Nilikuwa na case kama yako. katika relationship ya namna hiyo, pamoja na tatizo kama lako tena bora wewe unayepiga round5 per night, mimi ilikuwa ni bao1 na mbonji hadi kuchele, conflicts kibao demu full kujiachia ila sijawahi hata kumtia kibao.

Sasa baada ya kugundua nina tatizo naye hata hanipi ushirikiano nikaamua kumpotezea na kupambana na hali yangu (kugundua chanzo cha tatizo na kuliondosha). Nashangaa hadi leo bado ananitafuta (kwa sasa nipo mbali) japo hajui kama nimeshasolve tatizo.

Nilimpenda sana ila sasa mapenzi yameshuka kabisa kutoka 98% hadi 02% akijichanganya anga zangu nitamshughulikia hadi ashangae. But this time atakuwa kama mchepuko tu kwasababu moyo ulishaondoka kabisa.

Kwanza ukipenda sana unapumbazika unahisi kama vile kuna mwanamke mmoja tu wakati wapo wa kumwaga. Katika process ya tiba nimekutana na mabinti kibao hadi wananisubiria nipone niwapige kuni! Kupenda penda ovyo inabidi tuwaachie njiwa ndo wanavumiliana hata kwenye shida

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa na case kama yako. katika relationship ya namna hiyo, pamoja na tatizo kama lako tena bora wewe unayepiga round5 per night, mimi ilikuwa ni bao1 na mbonji hadi kuchele, conflicts kibao demu full kujiachia ila sijawahi hata kumtia kibao.

Sasa baada ya kugundua nina tatizo naye hata hanipi ushirikiano nikaamua kumpotezea na kupambana na hali yangu (kugundua chanzo cha tatizo na kuliondosha). Nashangaa hadi leo bado ananitafuta (kwa sasa nipo mbali) japo hajui kama nimeshasolve tatizo.

Nilimpenda sana ila sasa mapenzi yameshuka kabisa kutoka 98% hadi 02% akijichanganya anga zangu nitamshughulikia hadi ashangae. But this time atakuwa kama mchepuko tu kwasababu moyo ulishaondoka kabisa.

Kwanza ukipenda sana unapumbazika unahisi kama vile kuna mwanamke mmoja tu wakati wapo wa kumwaga.

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app

Dooooh hongera sana mzee atleast kuna mwingine aliwah kuwa kama mim...Yaan i hate being cheated man sijawah hata kutembea na demu tofaut zaid yake na rafik yake ambaye anajua IN n OUT sasa niliona Best way ni kumpiga hatarud kunishoboekea sitak
 
Mkuu si wewe na mimi tu, kuna watu wengi sana wamepitia/wanapitia hali hiyo tena wengine kwenye ndoa kabisa. Hata humu wamo kibao ila wamepiga kimya tu. Kithibitisho ni jinsi dawa za kuongeza nguvu za kiume zilivyo na soko...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu ila naomba kwa sani yakonikulize, huko vizuri kua mijamboz huyawezi,unachoka mapema,jogoo hapandi mtungi,pirika zake mdada huziwezi kwenye kitanda au dakika 3 umemaliza na ukimaliza hurejei tena ndio mpaka mjaliwae au hujisikii kufanya? simanishi kwa ubaya ki roho safi tuu..
Busara kubwa katika kuuliza swali wengine wangekejeli.
 
Hata sijaelewa elewa. Nimeelewa tu hauko vizuri kitandani na umempiga likibao na umemuambia usiione simu yake kwako.
Mengine mmmh!!!patupu
 
Hata sijaelewa elewa. Nimeelewa tu hauko vizuri kitandani na umempiga likibao na umemuambia usiione simu yake kwako.
Mengine mmmh!!!patupu
Allow me kukuelezea vizuri kunako pm mkuu.....🙂🙂🙂
 
huyo kimeo mkuu wanawake wapo wengi sana. nashangaa unamlalamikia mmoja.
 
Back
Top Bottom