Recent content by mwanani

  1. M

    Sema,"Ahsante Mungu"

    Ngaga kyala
  2. M

    Fid Q ni Bob Marley wa HIP POP hapa Tanzania, Hili halina Ubishi

    Umebahatika kusikia mistari ya solo the ng ulamaa?tafuta nyimbo hizi- homa ya dunia, sukari ina pilipili, bongo trsnsi, mambo ya pwani,vina vina utata na zingine nyingi pia usisahau misitari yake ktk mtazamo alioshirikishwa na afande
  3. M

    Mazuri, Mabaya na Changamoto nilizoona katika Bajeti ya Serikali 2015/2016

    Huku kwenye sukari mmmmm! ni kweli tuna sukari ya kujitosheleza? sasa hivi tutauziwa kilo sh2500, naomba mawazo yenu kwa hili la sukari wana jf wenzangu
  4. M

    Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

    Marehemu kachemsha kumunyonga mwanae, wakunyongwa alikuwa ni mkewe na kisha ndio ajinyonge yeye
  5. M

    Eti katafute fimbo uje hapa!

    Daah! Jf raha sana umenikumbusha mbali sana
  6. M

    Fatuma Makongoro (Bi Mwenda), Msanii aliyetukuka kwenye sanaa ya uigizaji Tanzania

    Mama ni mkali sana katika uigizaji, ananivutia sana
  7. M

    Anataka tuachane, kisa simridhishi

    Andika vizuri dogo, unakimbilia wapi?
  8. M

    Hivi Mengi ni Team Lowassa?

    Bora ibakie kuwa tetesi, lkn kama ni kweli kajiunga team lowassa. Mzee atahukumiwa kwa unafiki
  9. M

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Kweli dogo anafanya vema amefanikiwa, nichangamoto kwa wengine, ila chuki sio issue
  10. M

    Dkt. Slaa apokelewa kwa kishindo Tunduma; aahirisha kukagua BVR

    Mungu akulinde na kukuangazia nuru za uso wake Dr slaa
Back
Top Bottom