lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu,
Kuna jambo linanitatiza sana, kwanini mtu ukiwa umelala usiku wa manane then ukiota ndoto unaanza kuongea kwa sauti kubwa wakati ukiwa usingizini ndotoni?
Mfano jana kuna jamaa yangu alianza kuongea usiku wa manane akiwa usingizini. Aliongea kama dakika 5 then aliamka na kwenda kwenye friji kuchukua maji ya kunywa huku akiwa usingizini anakoroma ajabu. Baada ya kumaliza kunywa maji huku bado akikoroma alirudi kitanda akiwa usingizini tena anakoroma sana.
Sasa wakuu nisaidieni hapa hali hii usababishwa na nini?
Karibuni