Recent content by mwanamuziki

  1. mwanamuziki

    Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

    Kama unataka za ccm nemda tbc na star tv mkuu
  2. mwanamuziki

    Mke wa jirani anataka tufanye nae mapenzi

    Kapige kura kwanza.....baada ya kura kwa lowassa hata ukigegedwa wewe poa tu
  3. mwanamuziki

    Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

    Mimi binafsi nimeshwawahi kupendwa na mke wa mtu, mpaka akataka kua chizi...
  4. mwanamuziki

    Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

    Hili swala lipo sana.... Kuna baadhi ya watu walioa au kuolewa kwa bahati mbaya/ kwa fashion baadae wanakutana na wanaowapenda... Ama kuna baadhi ya watu waliolewa/walioa wakiwa wadogo then baadae wanapata akili za kiutu uzima....
  5. mwanamuziki

    Wanaume waheshimiwe milele

    Asante sana kwa kutukumbuka wanaume
  6. mwanamuziki

    Housegirl kufanya kazi hadi saa nane za usiku, mshahara 30,000/=, ni haki?

    Binafsi sipendi watu wanaonyanyasa mahousegirl.... Ila kila libaya mtu analowafanyia wenzie huwa linamrudia baada ya muda.... Mungu mwenyewe awasaidie hao kinadada...
  7. mwanamuziki

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Burundi atoroka

    Mwache anganganie ikulu....kuna siku wataenda kumuulia kule
  8. mwanamuziki

    Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye sura za kawaida sana/sio wazuri, sijui kwanini?

    Katika KUOA tunaangalia sana vitu vya ndani sio nje kijana...mfano, akili ( iq), tabia zake, nk...nje ni majaliwa tu
  9. mwanamuziki

    Kero: ITV na ubaguzi wa habari

    Sio kila tukio ni habari ndugu. Wanaweza kuwepi kwenye tukio wakaona sio habari kubwa sana wanaiweka pembeni... Na kataa ama ukubali kila chombo cha habari kina mrengo wake
  10. mwanamuziki

    Hizi ndizo sifa za mwanaume rijali, soma ili ujue upo kundi gani

    Naona ni hisia tu ...kama mwanamke anakufeel, ukisugua hata dakika tano nyingi unaona anakukumbatia kwa nguvu na machozi juu
  11. mwanamuziki

    Kwa kina dada na kina kaka wote hii inawahusu

    Wasichana mnasahau maisha mazuri hayaji tu leo, vumilia miaka miwili mitatu maisha ya mmeo yatabadilika yawe mazuri....mnakimbilia magari tu.mnakosa vitu vizuri vya rohoni+
  12. mwanamuziki

    To all good and hardworking men out there

    Mwandishi ni mwanamke ambae kichwani yuko 'smart'.... Ungekua huna boyfriend ningeanzia kwako lol
  13. mwanamuziki

    Uwezo wa Zembwela

    Media ya tanzania mbona watangazaji wengi sana ni hawana elimu ya kutosha na hata hawajisomei kupata maarifa ya ziada, na wengi hata miiko hawajui wanakua washabiki mpaka wakiwa on air
  14. mwanamuziki

    Ni kitu gani hutakisahau ktk ulimwengu wa mapenzi?

    Mi sitasahau kuna mkwere alinilishaga libwata, niliteseka sana mpaka nilipokuja kuambiwa na rafiki yake!!
  15. mwanamuziki

    Maaskofu ndio wasaliti

    Mimi nimeusoma ule waraka wa maaskofu, wamepinga katiba kwa fact, fact ambazo ziko wazi tu, sema tanzania tumekua wanafiki mno kulingana na maslahi yalipo kuliko maendeleo ya nchi na future ya tz
Back
Top Bottom