kila sku wazee mnakuja na malalamiko ya itv kwan mmefungwa kamba?ss vijana sku nyingi tushatoka huko,angalia azam au star tv hutojuta,hiyo itv habari kubwa ni ya kuonesha sura ya mengi
mi naona TBC ndo wabaguz hapa nchini ITV DAIMA wanachana live.
Uliepost nenda kasome chekechea
Hiyo habari unauoizungumzia imerushwa saa 5 usiku tena kwa details za kutosha kabisa pamoja na ile ya Anti Chadema Tanzania.