Mke wa jirani anataka tufanye nae mapenzi

Mabadiliko kwanza mkuu hebu anza mabadiliko kwa vitenda kwa kumgegeda
 
We unaona ni sawa tu kwamba Mkeo ana uhusiano na mume wa mtu mwingine sio? Hilo hufikiri?
 
Kapige kura kwanza.....baada ya kura kwa lowassa hata ukigegedwa wewe poa tu
 
Ni baada ya kuhisi kuwa mke wangu anamtamani mume wake ndipo Jana nimekutana nae dukani kwa mangi akaniambia.Mkeo na mume wangu naskia wana mahusiano.kama vipi na sisi tulipize kwa kugegedana.Kama haitoshi Leo asubuhi kaja ninapokaa kuchota maji na khanga moja.
Swali nimgegede au nipotezee Kesho nikampe kura yangu Lowasa.

Mwongoza
1. Kapige kura, na MPE kura ya lowassa
2. Linda kura yako mpaka kieleweke.
3. Mgegede huyo mwanamke.
 
Ni baada ya kuhisi kuwa mke wangu anamtamani mume wake ndipo Jana nimekutana nae dukani kwa mangi akaniambia.Mkeo na mume wangu naskia wana mahusiano.kama vipi na sisi tulipize kwa kugegedana.Kama haitoshi Leo asubuhi kaja ninapokaa kuchota maji na khanga moja.
Swali nimgegede au nipotezee Kesho nikampe kura yangu Lowasa.

Mthamehe tu!!!,usilipe ubaya kwa ubaya bali lipa ubaya kwa kutenda wema.
 
fikiria tena,kama mkeo amefanya kosa sio lazima na wewe ufanye kosa kama hilo hakutokua na tofauti baina ya wewe na mkeo,au huenda sio kweli unayo ambiwa chunguza........
 
Ni baada ya kuhisi kuwa mke wangu anamtamani mume wake ndipo Jana nimekutana nae dukani kwa mangi akaniambia.Mkeo na mume wangu naskia wana mahusiano.kama vipi na sisi tulipize kwa kugegedana.Kama haitoshi Leo asubuhi kaja ninapokaa kuchota maji na khanga moja.
Swali nimgegede au nipotezee Kesho nikampe kura yangu Lowasa.

Kaka gegeda
 
duh kwa hiyo wife wako jamaa kamgegeda? na wewe unakuja hapa kutangaza bila aibu wakati wazee wa zamani walisema ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom