Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi:
Awe na umri miaka35-47,
Awe mkiristo,
Ambaye hazai
Awe tayari kunilea
Wasifu wangu:
Nina miaka 64
Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5
Mimi ni mgane,
Retired since 2020 January
Mjasilia Mali na mkulima wa vitunguu mpunga na mfugaji wa kuku na...
Habari za wote humu ndani,<br /><br />Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.<br /><br />Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha...
Zabibu zinapandwa cuttings ( vipande vya mmea) kiswahili chake nisaidieni kama alivyokueleza jose mjasiriamali Dodoma ndo kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe la nyoka ni dawa kweli isipokuwa ni mfupa wa mnyama mmoja ambao unachomwa na kutengenezwa vizuri nawasilisha ndugu Mshana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.