Natamani kuolewa

Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Dada Tanya naona wengi humu wanatania kama uko serious nipo mimi tafadhali tuwasiliane tuyajenge vigezo vyote ninavyo

Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo PM

Sifa zote ulizohitaji mm ninazo,ila nimekosa sifa 1 tu,natamani uwe Mke wangu.

Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi yako ni mazuri. Ila nijuavyo mimi hujaamua kuolewa bado. Kuna vitu umekariri kichwani mwako na vimekuathiri.
Nani alikuambia elimu ya mtu inaimarisha ndoa, aliyekwambia wasomi ndiyo waaminifu ni nani, kwenye kumcha Mungu sawa uko sahihi.
Aliyekuambia ukiolewa na msomi umepata immunity ya ndoa ni nani?.
Amka, shituka, elewa, fahamu kuwa kwenye mapenzi hakuna cheo wala mishahara. Unaowakimbia ndiyo hao hao wenye mapenzi mema.
Mimi nina sifa zote hizo lakini bado sistahili kukuoa uwe mke nakimbilia kwa waliotoroka shule au wamesoma wakaishia njiani.
Ni vema ukalenga kwenye ndoa kuolewa mengine hayo mwachie Mungu. Mungu alisema zaeni mkaongezeke hakuna aliposema namna ya kuwa wasomi waoane wao kwa wao au laaaaa. Ndiyo maana kuna mahitaji mnayomuomba Mungu mengine hajibu kwa kuwa yako kinyume na maagizo yake.
Usiwe kama Adam. Jibu kadri ulivyoulizwa, tenda kwa kufuata yaliyo mapenzi ya Mungu. Adam aliulizwa na Mungu "uko wapi " yeye akajibu niko uchi. Hujaulizwa hiki unajibu kile.
Unayemtafuta huwezi kumpata kwa principle za Mungu labda za shetani na ukimpata lazima ujute maana si wa Mungu.
Ikiwa hukuhitaji wa namna hiyo Mungu hutoa.

Kuna chizi hapa mtaani ana masters ,alikua mwalimu wa chuo mlimani sijui utamkubali maana mkewe kamkimbia sababu ya usakara

Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako mazuri sana.inaonekana una kiasi kizuri cha kufikiri..kuepuka usumbufu jioe mwenyewe.

Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kadegree kuanzia kamoja. Kuna muswaada wa bila kuwa na cheti cha Form four hakuna kuoa. Baada ya miaka 20 inawezekana bila kufika masters hakuna ndoa, na vyuma vilivyokaza, kuna kauzoefu kameanza kuja, mahusiano mengi yameshavunjika kwa ukosefu wa ajira. Mwanamke anataka aolewe, mwanaume anaona ngoja kwanza atafute ajira ndio aoe kwa ushindani wa ajira uliopo miaka inaenda mwanaume anaonekana hatimizi ahadi what next, kweli mapenzi yanaisumbua dunia

Awe na vigezo hivyo halafu akusubiri wewe uliekwisha kuchezewa na kuzaa. Umeshakuwa wa hivyo bhasi punguza vigezo tafuta mapenzi tu

Similar Discussions

Back
Top Bottom