Natafuta rafiki mwanaume

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
Ok!
 
Please check me, kama upo serios
 
Ndugu mnaomdhihaki huyu mama mnakosea sana, haya maisha hayako hivyo. Shauri yenu, hjafa hujaumbika. Sidhani kama yeye alitaka hayo mnayomsema nayo, ni mapenzi ya mungu tu. Jirekebisheni.
Beatha kila lakheri umpate mwenza.
 
Itakuwa ndio nyie wakati wabichi mlikuwa mnajishebedua sasa ndio mnazisoma namba upo tayari kuishi nami japo sikatahiriwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom