Recent content by Mwanambee

  1. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Ni Biashara ipi iko na faida mzuri

    Nadhani kabla ya kushauri ni biashara gani ufanye na hiyo 40m kwanza ungeelezea mambo ya msingi yafuatayo; 1. Umejichanga hiyo 40m kwa mda gani? 2. Umejichanga kwa kufanya shughuli gani? 3. Umejichanga kwa mda gani 4. Katika kujichanga ulikuwa na malengo gani 5. Una umri gani na uko katika hatua...
  2. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mwanasheria Mkuu anaweza Kumrudisha Nchini |Mange Kimambi kwa makosa haya na kwa hatua hizi

    H Hizo mambo hazipo marekani mkuu yaani unataka kusema USA Government ikae na Samia kudeal na Mange 😂😂
  3. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Damu za watanganyika zitalipwa tu, haitajali ni miaka mingapi. Kisasi chetu ni lazima, Samia achia madaraka, na Abdul jisalimishe

    Mpuuzi kama huyo usimjibu tena unampa thamani asiyostahili
  4. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

    Umewasha na VPN uandike huu upuuzi! Kwahiyo hiki kinachoendelea ni jitihada za CHADEMA na viongozi wake kupambania tonge😂😂
  5. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Mfumo wetu wa elimu ndio chanzo cha tatizo maana ni content-based, yaani umejikita kuhakikisha msomi anamaster masomo yaliyoainishwa kwenye mtaala. Na falsafa ya nchi yetu ni "Education for Self-Reliance" yaani mhitimu aweze kujitegemea na kukomboa jamii yake wakati dunia ya sasa ambayo tasisi...
  6. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi Rais Samia umetuongzea WanaCCM amani, furaha na moyo wa kujiamini kisiasa zaidi ukilinganisha na wenzet u ambao wasiojua hatima yao

    Nilitaka nikujibu ila nilipoona ule uzi wako unaohoji nini Lissu amefanya wa member aliyejoin 2020 nikajua bila shaka wewe ni generation chawa hivyo nikupuuze.
  7. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Mashambulizi yetu Iran zidi ya Mazayuni

    Mtu wa pili baada ya kiongozi wako mkubwa General Hossain Salami anauwawa, Chief of Staff anauwawa kamanda wako jeshi la anga anauwawa, top scientist wanauwawa! Unadhani Iran inaweza kujibu hiki kipigo! Hili game Israel anacheza in a whole different level na hasa kwenye Intelligence, tuache...
  8. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reform No Election
  9. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    nataka kuandika nafsi inasita ila tu itoshe kusema leaders are born.
  10. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    1. kuifungua nchi 2. Royo tua 3. kuendeleza miradi mkakati kiufupi tu nchi yote ni ya mama
  11. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Jamani tatizo sio Rais ni mfumo CCM

    na aishie kuwa demu tafadhali asije kuwa hata mchumba
  12. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    Yeah ila iwe kuanzia 3rd generation
  13. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

    Hoping and praying that one day tutakaa na kujadili ishu muhimu kama hizi bila mihemko tukajiuliza tu kwa akili ya kawaida. Ingekuaje wale wanaharakati wa nchi jirani wangeruhusiwa kushiriki kesi ya Lisu kama wale watanzania waliokuwa wamezuiwa walivyoruhusiwa ni nini kingetoke wangevujaje...
  14. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    Subaru Forester au Toyota Rav 4 from personal experience
Back
Top Bottom