Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

045460D7-E111-4311-819C-96897909C433.jpeg


Kula chapati mkuu, achana na magari.
 
Habar wakuu nimekuja kwenu mnishauri nataka kununua gari lakini mim nimtu wa safari ndefu,dar kigoma,dar mwanza,dar mbeya,,gari ipi itanifaa kwa safar ndefu budget 25-35m NB ni iwe family car
Nadhani mkuu ungekuja na plan yako halafu hapa upewe ushauri katika hiyo plan yako. Tafuta gari mbili ndio uje nayo hapo kwa review ili upate pakuanzia hapa na uzi wako utapata general review but wewe unahitajika kuwa specific
 
Inategemea na kazi yako. Kama utahitaji kubeba na mizigo yaani nafasi, comfortability au classy .
Hiace Quantum, verifier au Alphard, Forester, crown majesta, etc
 
Kuna mwamba wa Mozambique alinisimulia hizi gari kwao ni nyingi sana na zinapatikana kwa bei rahisi tu probably ni za wizi kutoka South Africa ?

Vipi kuivusha bongo kutoka Mozambique kuna charges zozote ?
 
Back
Top Bottom