Recent content by Mwanamaji

  1. Mwanamaji

    Natafuta softcopy ya kitabu cha 'shamba la wanyama'

    NICHOLUS MBARIKIWA KE tazama hapo mkuu
  2. Mwanamaji

    DStv wametoa ofa ya chaneli zote bure kuanzia 27 mpaka 29 Desemba hata kama hujalipia

    Kwa kweli muktadha wa "channel zote" ni lazima uwekwe wazi hapa
  3. Mwanamaji

    Ifakara Health Institute (IHI) Public Health Masters Scholarship kupitia chuo cha Nelson Mandela

    Mambo vipi Karemboo ulifanikiwa kupata taarifa kuhusu hii scholarship uliyoiulizia hapa ? Kuhusu Samia Scholarship, muda sio mrefu sana Disemba hii "mambo yatakua hadharani", zidisha maombi, duah au lolote linaloweza kusaidia.
  4. Mwanamaji

    Shahada ya Animal Health and Production ina nafasi gani katika ajira?

    Fafanua swali lako ndugu. Unataka kujua nini kuhusu "AJIRA" zinazohusiana na kozi tajwa hapo juu ? Ajira zikoje ni swali pana na ni swali farakanishi. Au unataka jibu la jumla ?
  5. Mwanamaji

    Nchi za Afrika zilizobadilisha majina baada ya uhuru

    𝗨𝗯𝗮𝗻𝗴𝗶 𝗦𝗵𝗮𝗿𝗶 is such a good name.
  6. Mwanamaji

    Alikuwa wapi siku zote?

    Kwahiyo kuna mtu kapendelewa hapa... Basi Sisi kama waangalizi wa kimataifa tunasema Uchaguzi haukua huru na haki
  7. Mwanamaji

    Wanaovizia scholarship za japan tukutane hapa

    Mkuu ndege JOHN ulifanikiwa kutuma maombi ? Naona wametoa ratiba ya mitihani ya mchujo.
  8. Mwanamaji

    Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

    Namba 5 nimecheka sana. Yaani kwamba hata kama ni yeye mwenyewe hana faida kiuchumi kwenye familia basi ajiengue ?
  9. Mwanamaji

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu Tokyo40 (au yeyote anayewekeza kunipa mwanga hapa) habari ya majukumu.... Nimeshindwa kuja PM, wacha nimwagike tu hapahapa. Kuna scholarship za serikali ya Japan (MEXT) zimetangazwa na nimeamua kwamba na mimi mwaka hu niingize timu uwanjani (niombe). Naomba input yako kwa uzoefu wako...
  10. Mwanamaji

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Inawezekana ulikua na lengo zuri, lakini ulichoposti hapo sio KOBE. Huyo ni KASA. Haya turudi kwenye mjadala sasa...
  11. Mwanamaji

    Kwanini Waafrica wengi waliokua brainwashed wanaamini Kupunguza Idadi ya watu ndio suluhisho la umasikini??

    Rasilimali nambari moja ni akili. Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na likaendelea. Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na lisiendelee. Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na likaendelea. Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na lisiendelee. Akili.
  12. Mwanamaji

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    1. Kama anataka kwenda serikalini anatakiwa KUACHA KAZI hapo alipo sasa (NMB). 2. Kama hataki au hayuko tayari kuacha kazi hapo alipo, maana yake hataki kwenda kufanya kazi ya mchumi aliyoipata serikalini. Kinachojadiliwa hapa ni faida na hasara za kuchukua maamuzi namba 1 au namba 2 hapo juu.
Back
Top Bottom