Vituo vya katikati kuanzia maeneo ya Bucha , Baruti hadi Kibo abilia wanapata taabu sana. mabasi yakitoka huko yanakoanzia yanakuwa yamejaa sana. nashauri baada ya dakika zisizozidi 15 gari angalau 1 tu ianzie Bucha ili kusaidia abiria wa hivyo vituo kuwahi makazini.
Haya
1. Hebu onyesha hiyo 90% ya trip za PM umezipataje!!! (3/idadi ya trip zake * 100 = 90%? fanya kama utapata jibu
tofauti basi ndio maana nimesema wewe mwongo!!!!!!)
2. Ulitaka akitoka Arusha aende mapumuziko wapi? (taja)
3. Je kwani ratiba zake anayezijua ni yeye au wewe? mpaka...
Huna lolote kinachokusumbua ni wivu tu unajifichia kwenye uchumi nani amekwambia wa Mwanza hautajengwa??? utakapojengwa wewe mwenyewe utasema wanajenga tu kanda ya ziwa!!! unataka Kiongozi wa nchi aende kwa baiskeli nyumbani kwake???? mbona hatujakusikia ukihoji barabara zilizojengwa tena siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.