BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti cha kustua cha sikukuu! Mwenye mali yuko home noma kubambwa ni rahisi sana. Mwenye mumewe alishastuka akawa anamsubiri mwizi wake ampe kibano cha nguvu. [emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️
Mke alitaka kushtua cha sikukuu....
Mumewe amsamehe tu...itakuwa shetani alimpitia mkewe