Naomba kujua kampuni zinazohusika na kusafirisha mizigo kutoka China

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
129
Wanadau
Naomba kujua majina ya maa agents wa kisafirisha mizigo kutokea china kuja Tanzania.

No zao

Ofisi zao kwa hapa Tanzania

Na bei zao mara nyingi zikoje?

Nawakilisha
 
HABARI ZA HAPA WANAJAMVI.

JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU KWA ANAYEJUA KAMPUNI ZINASAFIRISHA MIZIGO OKA CHINA KWA UAMINIFU.NIMEONA KUNA DHL NA FEDEX LAKINI NAHISI GHARAMA ZA HIZI KIDOGO ZIPO JUU.NIPO TAYARI KUJUZWA.

SHUKRANI
 
Silent ocean wako cheap sana ofisi zao ziko karikoo ndio wasafirishaji wa mizigo mingi ya wafanyabiashara wa tz from china.
By the way ni mzigo mkubwa au kiparcel?
 
HABARI ZA HAPA WANAJAMVI.

JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU KWA ANAYEJUA KAMPUNI ZINASAFIRISHA MIZIGO OKA CHINA KWA UAMINIFU.NIMEONA KUNA DHL NA FEDEX LAKINI NAHISI GHARAMA ZA HIZI KIDOGO ZIPO JUU.NIPO TAYARI KUJUZWA.

SHUKRANI
Mtafute 0657 862030 jamaa gharama zake ni poa atakupa maelezo yote na mlolongo mzima tangu unaagiza mpaka kupata mzigo wako, pia ni mzoefu wa hizo kazi.
 
mkuu inafatana na mzigo unaotaka kutuma ,pia unaharaka nao kiasi gani.kama mzigo ni mdogo na mwepesi unaweza kuutuma kwa ndege ila kama mzigo ni mkubwa au mzito bora uutume kwa meli.kuna kargo kama silent ocean,gnm,moka,zazeme(msigwa) etc.zote wana ofisi dar es salaam na wana warehouse kwa kufata mzgo.ila kama ni mzgo mdogo bora uwape maagent wa mizigo midogo .kuna watu kama seba,tumbo,ridhiwan,moody etc ndo watumaji wa viparcel kwa upand wa guangzhou.
by the way nipo guangzhou china ,ukihitaji msaada wowote wa ndani ya uwezo nitakupa
 
Asante
 
Nitakutafuta man
 
THE GOD FATHER mzgo unaosafirishwa kwa meli kutoka hapo hadi Dar huchukua muda gani?
Mzgo unaosafirishwa kwa meli kutoka China hadi Dar huchukua mda gani?
 
HABARI ZA HAPA WANAJAMVI.

JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU KWA ANAYEJUA KAMPUNI ZINASAFIRISHA MIZIGO OKA CHINA KWA UAMINIFU.NIMEONA KUNA DHL NA FEDEX LAKINI NAHISI GHARAMA ZA HIZI KIDOGO ZIPO JUU.NIPO TAYARI KUJUZWA.

SHUKRANI
Mashirika ya Posta mkuu, siku hizi hadi mlangoni kwako.
 
Miss mbuja plz naomba tuwasiliane pia jmaa anitumia ki percel changu toka china pia au nikufate pm au 0783848802
 
Back
Top Bottom