Recent content by MWANAKWETU 2015

  1. M

    Asilimia 100% Leo mke wangu kanisaliti

    ......mi nadhani una was was tuuu kwan uwezi kulinda penzi la mkeo kwa kuwauliza majirani,ilo umekosea mkuu,alafu unaenda mpk kwy facebook account yake yaan unaonyesha jinsi gani umuamini mke wako,mi nakushauri usintengeze mazingira ya kusalitiwa,hata angeweka cm ewan na yupo gesti ungejuaje...
  2. M

    Wito: Dar acheni kukopa magari, jioneeni huruma walau kidogo!

    .....always they do say that DON"T FINANCE LIABILITY,kwa maaana wengi wenye magari yanawaumiza sana mm nina mfano halisi nafanya kaz nje ya mji yaaan pembezoni mwa dar es salaam kwa iyo usafiri sio shida kwan hakuna foleni ila kutokana na ulimbukeni wa watanzania kutaka kumiliki gari pasipo...
  3. M

    Level ya mshahara kwenye tangazo inaweza kubadilika?

    mi nadhan umekosea kupata dhima nzima ya kaz mshahara c kitu pekee kinachomuamisha mtu kutoka kaz moja kwenda nyingine apa tunaangalia carrier zaidi kwan uwez kuwa accountant by proffessionala ukachagua kuwa customer care kwa mill. 1 na kuacha uhasibu kwa laki 7.inabidi uelewe as longer uko kwa...
  4. M

    Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    duuuu mkuu umegong kulekule mm nilikuwa na rafiki kipindi tupo chuoni dodoma nakumbuka kama mwaka wa pili iv kipindi kile ndo Gx 100 zinatoka bas tumeshika madaftari yetu tunaenda kupiga msuli kuna jamaa akapita na iyo Gx 100,tukasimama tukaanza kuota ndoto eti mwenzangu akasema akimaliza an...
  5. M

    Vijana wa leo bila kujiboost hawawezi kufanya mapenzi

    habar wadau mi nadhani kuishiwa au kupungukiwa nguvu za kiuume kuna mambo makuu mawili i.aina ya vyakula tunavyokula 2.uongezekaji wa msongo wa mawazo kutokana na ugumu wa maisha/kupanda kwa gharama za maisha. tukiongelea aina ya vyakula hii inatokana na ukuaji wa viwanda...
  6. M

    Mchango wa mawazo juu ya kurudisha mkopo

    Habari wanajamvi, Kuna mfanyakazi mwenzangu hapa ofisini alikopa kam mill.4 kwenye hizi financial institutions alitakiwa arudishe 5.6m pamoja na riba kwa muda wa miezi kumi kila mwezi ni sh.560,000 ameshalipa miezi minne mil.2,240,000, bado mil.3,360,000, hivi juzi jamaa...
  7. M

    love connect

    ......kama nilivyosema mwanzo rafiki then mambo mengine yatafuata ila c ya ulazima
  8. M

    Hivi ni sahihi kutamka kisamvu cha kopo redioni?

    ....kuna lugha za misimu zinazochipuka kwenye jamii mwisho zinaweza kuwa lugha rasmi au zisiwe rasmi kwa mahana zisiingie kwenye kamusi lakini zikabaki kutumika na jamii katika mawasiliano kwa mfano kasheshe ss ni neno rasmi,nikiongelea kisamvu kama mboga itokanayo na mche wa mhogo ni mboga...
  9. M

    love connect

    Habari wanajamvi, Natarajia kuamia Mtwara mjini kikazi ningependa kupata msichana/mdada anaeishi mMwara awe rafiki just a company ikibidi tuwe wachumba vigezo umri miaka 26-30 elimu yoyote awe mfanyakazi wa taasisi yoyote ya serikali, kabila lolote awe mkristo urefu saizi...
  10. M

    Naomba ushauri wa ununuzi wa kiwanja

    .....mi naungana na wachangiaje wa mwanzo kwa ukaribu wa mjini bora ukajemge makongo juu kama ni matumizi ya kuishi mwenyewe,ila kama unataka ku invest nenda iringa kanunue eneo ujenge hostel kwan zinalipa sana ila kikubwa upate kiwanja kilichopimwa na serikali mm mwenyewe nimenunua chanika ila...
  11. M

    Naomba ushauri: Technolojia ya ujenzi wa gharama nafuu Tanzania

    kama walivyosema wadau ujenzi wa nyumba gharama yake kubwa ni kwy finishing na si kingine unaweza ukaanzia msing mpak linta kwa mill.9 nyumba ya vyumba vitatu-(one master room kitchen sitting rooom store dining) ila kupaua kama bati ni msouth inagota kama 5m bado madirisha kama ya chuma(grill...
  12. M

    nimepata idea ya ujasiriamali, naomba muisome...arafu naomba ushauri na mawazo yenu..

    ... mawazo yako ni mazuri ila changamoto ninazoziona apo ni jinsi ya kutumia ivo vifaa yaaan computer kwan kuna ofisi zingine aziruhusu vifaa kama ivo vya kutoka nje kuingia ndani kupunguza risk za infromatiion likage ila idea ni nzuri sana
  13. M

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Ahsante kwa wadau wote walionipa ushauri nadhani nitaegemea kwy kuongeza kiwanja.
  14. M

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Habari zenu wana jamvi, Nilikuwa naomba ushauri juu ya mambo mawili: nimepata hela kama milioni 3 hivi kutokana na shughuli zangu za hapa na pale. Nilifanikiwa kujenga nyumba yenye master bedroom moja, sittingroom na kitchen. Sasa nilitaka nipate ushauri; je, niongeze chumba kingine (master)...
  15. M

    Leo nimetembelea Addis Ababa

    in living cost ya addis abbaba ikoje mkuu na opportunnies zipo
Back
Top Bottom