.....mi naungana na wachangiaje wa mwanzo kwa ukaribu wa mjini bora ukajemge makongo juu kama ni matumizi ya kuishi mwenyewe,ila kama unataka ku invest nenda iringa kanunue eneo ujenge hostel kwan zinalipa sana ila kikubwa upate kiwanja kilichopimwa na serikali mm mwenyewe nimenunua chanika ila kuna foleini sana kuazia airport njia panda ya segerea banana na gongo la mboto yenyewe na uthamani wa nyumba aupanda sana kama ungejenga mbweni bunju makongo juu na tuangoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.