Level ya mshahara kwenye tangazo inaweza kubadilika?

Level ya mshahara kwenye tangazo inaweza kubadilika?

Giz

New Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari wanajamvi.

Kuna kazi ningependa kuomba, inameet qualification zangu kabisa + career development naona itakuwa vizuri endapo ntaipata.

Tatizo liko moja tu, kwenye level ya mshahara. Mshahara waliotaja uko chini kwa zaidi ya laki tano kwa huu naopata sasa. Najiuliza je niombe hivyo hivyo? Naweza nikanegotiate wakapandisha mshahara hata kwa 1 ml?

Au je hizi level za mishahara ambazo makampuni mbalimbali huweka kwenye matangazo ya kazi huwa ni ya kweli? Au huwa zinabadilika?

Note: ofisi yangu haina shida kwa ss, ila tu ningependa kubadili ofisi baada ya kukaa ofisi moja muda mrefu na kufanya kazi hizohizo kila siku.
 
Wanachoandika kwenye tangazo wanamaanisha, kama unaona haikutoshi potezea
 
kwa nini uhame kazi kwa increment ya laki tano??
acha njaa za kipumbavu wewe...
 
mi nadhan umekosea kupata dhima nzima ya kaz mshahara c kitu pekee kinachomuamisha mtu kutoka kaz moja kwenda nyingine apa tunaangalia carrier zaidi kwan uwez kuwa accountant by proffessionala ukachagua kuwa customer care kwa mill. 1 na kuacha uhasibu kwa laki 7.inabidi uelewe as longer uko kwa field yako unakuwa more competent and u become more valuable,mi naona vijana wengi wanapata shida na mishahara bila kuangalia exprience ya field zao
 
Back
Top Bottom