Recent content by Mwanakalenge

  1. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba azomewa na Wanachuo

    POST HII NI YA UONGO, MAKAMBA HAKUWEPO KWENYE KIKAO CHA SENETI CHA VIONGOZI WA CCM MKOA WA DSM, Bali Jerry silaa ndie alikuwa mgeni rasmi Na hakuzomewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliye tayari kuingia kwenye ndoa

    Tulia Dogo umefiwa juzi hata hujamaliza machungu ya mke Leo Tangazo ubaoni!!!!!!!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jinsia ya kike husika hapa seriously

    Dogo unaonesha kuwa unanjaa kali, kuwa muwazi unachohitaji wewe sio mpenzi Bali fedha, naogopa kusema hali hii itakupelekea kwenda kujiuza ili utimize hiyo dhiki, TULIA USOME
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Ardhi halmashauri ya Jiji la Mbeya

    Hamna ushahidi, hayo ni majungu tu. Ufisadi ni kitu kingine wala usipotoshe umma.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namchukia mume wangu kwa sababu amenifanya niwe malaya

    Tatizo pia lipo kwa huyo dada haiwezekani mtu mwenye fikra pevu kuona kuuza uchi ndio suluhisho la Ukata unaomkabili, kwa namna hii hata bumu lilipokuwa linachelewa chuoni alifanya kama afanyavyo. Hiyo ni tabia yako hata kama mumeo angekupa Dunia yote usingeridhika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nitazuiaje mtu asifatilie mawasiliano yangu ya simu

    Huyo atakuwa wife ama unamchanganya boss wako ambaye unadeti naye
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nahitaji kujua lugha ya mume wangu

    Busara ni wewe ujifunze hiyo lugha yake, kuna utamu ukiongea kikwenu. Ila Indonesia hujiamini unahisi wanakusema
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sijui waliishia wapi hawa

    Duh huyo Bonge nahisi alizimia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Eti leo sherehe za Eid zimeanza?

    Idd el fitr ni kesho kwa mujibu wa BAKWATA, kwa mujibu wa Answar Sunnar ni leo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Looking for Ps2......

    Just pm me it's in my custody
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume ambaye badae atakuwa mchumba na hatimae niolewe naye

    Nina vigezo vyote ulivyohitaji ila nahofia kimo Chako ni mfupi sana 150cm ilibaki kidogo uwe mbilikimo
  12. M

    JamiiForums Tanzania International Friendly - Namibia vs Tanzania

    Duh ng'ombe wa masikini hazai wamerudisha, full time 1:1
  13. M

    JamiiForums Tanzania International Friendly - Namibia vs Tanzania

    Timu ya taifa star na Namibia zimetoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja
  14. M

    JamiiForums Tanzania Do you have a vigina?

    Duuuh hili ni funzo la busara kwa wale wanaondekeza michepuko
Back
Top Bottom