Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
noted mkuu!Sorry typo error mkuu...
noted mkuu!Sorry typo error mkuu...
Thanks for the updates.
Dk 90+
Namibia 0 - 1 Tanzania
Pamoja mkuu...
Flight connections zilishindikana kwa sababu wana mechi inawasubiri weekend.Kina Okwi na Kiiza imewezekana kwa sababu ya connection ya KQ.Rainford Kalaba yuko ndani ya kikosi cha Zambia dhidi ya Uganda,Emma Okwi,Hamis Kiiza yuko ndani ya kikosi cha Uganda dhidi ya zambia leo.Kwanini Tanzania haina Ulimwengu na Samatta dhidi ya Namibia?
Niliwahi kusema awali kuwa huu mchezo umeangukia kati kati ya kalenda ya champion league ya Afrika,complications ni nyingi kwenye kuunganisha ndege. By the way Masuke mbona huulizi kuhusu mwinyi kazimoto?Mkuu kwa nini hujiulizi kwamba sababu gani ilifanya wachezaji wa Yanga wakaondolewa kwenye timu ya Taifa.
Hata wewe ungekuwa kiongozi wa TP Mazembe ungetumia sababu hizo hizo walizozitumia kuwaacha wachezaji wa Yanga ambao tayari walikuwa wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa lakini wakaondolewa ili wajiandae na mechi dhidi ya Al Ahly, kwa hiyo kwa TFF ni Klabu kwanza na Taifa baadaye.
Dorogo kocha msaidizi unayemtaja ni Sylvester Marsh,anaumwa amelazwa,tumuombee.Mtu anachaguliwa kuwa Rais TFF anabadili mambo atakavyo kama mwanasiasa afanyavyo.Kocha stahiki wa Stars mbadala wa Kim ni yule aliyekuwa akimsaidia kwa karibu miaka 4 sasa Mr... (Nimesahau jina) ndiye amechukua ujuzi na anawajua wachezaji wetu vizuri sa huyu Madadi wa nini?
Yale yale ... timu haina manager halafu imefanya mazoezi siku moja tu! Get serious, stop horsing around!.... hizi ni mechi zipo ktk ratiba ya FIFA, timu hii imekwenda Namibia na Salum Madadi ambaye ni kaimu mkurugenzi wa ufundi wa TFF......Na timu hii imefanikiwa kufanya mazoezi siku moja tu.
Yaani ulikuwa unashangilia kabla mechi haijaisha? Pole.Timu ya taifa imeilaza Namibia kwa goli moja