miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Ha ha ha university bundle haitoshi
Ha ha ha university bundle haitoshi
Mbona enzi za nyerere MB hazikuwepo na watu walikuwa wanasoma, tatizo mi wanafunzi ya siku hizi haipendi kusoma kazi kwenda club tu
we mwenyewe umesema enzi za nyerere kwani saivi ni enzi za nyerere?
Vitabu si viko mnataka MB za nini?
January Makamba azomewa na mamia ya wanafunzi katika uchaguzi wa viongozi wa shirikisho hilo kwenye ukumbi wa Karimjee...
Kama imefikia hatua ya kuzomewa na wanafunzi ni muda mwafaka wa kujitafakari..... Kudoz wanafunzi "uzalendo wenu ndiyo mafanikio ya Taifa".....
Vitabu si viko mnataka MB za nini?
POST HII NI YA UONGO, MAKAMBA HAKUWEPO KWENYE KIKAO CHA SENETI CHA VIONGOZI WA CCM MKOA WA DSM, Bali Jerry silaa ndie alikuwa mgeni rasmi Na hakuzomewa
HABARI HII NI YA UONGO NA YENYE MALENGO YA KUMCHAFUA ndugu January Makamba , Leo katika uchaguzi wa shirikisho mkoa wa dar es salaam , mhe january alipita na kubariki zoezi zima kama Mlezi na Mshauri wa shirikisho Hili, Alilakiwa kwa shangwe na vigelele vingi kutoka kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali mkoa wa dar es salaam, Haikutosha hapo pia tuliomba na kupiga nae picha nyingi sana............ Siasa chafu zisizo na mwelekeo na makundi yasipotoshe jamii na umma wa watanzania! Kila siku uongo utajitenga na Ukweli,
Wakati wengine mkiendelea kupiga kampeni na kutoa maneno ya kashfa kwa wengine , bila kuangalia upande bila kumshabikia mtu ,Mhe january makamba aliwaasa wanafunzi kuwa viongozi bora na kufwata dira ya chama cha Mapinduzi, Napenda Kusisitiza Mhe January Makamba Hakuzomewa na mtu yoyote na pia kwa nia ya dhati kabisa hakuongelea wala kujipigia debe!
HABARI HII NI YA UONGO NA YENYE MALENGO YA KUMCHAFUA ndugu January Makamba , Leo katika uchaguzi wa shirikisho mkoa wa dar es salaam , mhe january alipita na kubariki zoezi zima kama Mlezi na Mshauri wa shirikisho Hili, Alilakiwa kwa shangwe na vigelele vingi kutoka kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali mkoa wa dar es salaam, Haikutosha hapo pia tuliomba na kupiga nae picha nyingi sana............ Siasa chafu zisizo na mwelekeo na makundi yasipotoshe jamii na umma wa watanzania! Kila siku uongo utajitenga na Ukweli,
Wakati wengine mkiendelea kupiga kampeni na kutoa maneno ya kashfa kwa wengine , bila kuangalia upande bila kumshabikia mtu ,Mhe january makamba aliwaasa wanafunzi kuwa viongozi bora na kufwata dira ya chama cha Mapinduzi, Napenda Kusisitiza Mhe January Makamba Hakuzomewa na mtu yoyote na pia kwa nia ya dhati kabisa hakuongelea wala kujipigia debe!
January Makamba azomewa na mamia ya wanafunzi katika uchaguzi wa viongozi wa shirikisho hilo kwenye ukumbi wa Karimjee...
Kama imefikia hatua ya kuzomewa na wanafunzi ni muda mwafaka wa kujitafakari..... Kudoz wanafunzi "uzalendo wenu ndiyo mafanikio ya Taifa".....
Hivi makamba anafanya nini kama naibu waziri wa mawasiliano? Mbona makampuni ya simu yamebana sana watumiaji wa mitandao?
Makamba anajichafua mapema.asilimia 87 ya wanachuo wanategemea MBS ktk harakati zao za masomo.kama alishindwa kuwatetea kafata nini huko?bora angepigwa kabisa
Bando limekuwa dogo now days....tatizo!
Hivi makamba anafanya nini kama naibu waziri wa mawasiliano? Mbona makampuni ya simu yamebana sana watumiaji wa mitandao?
Pumbavu sana.......analeta siasa za urithi........