Recent content by MWANAJAMIA

  1. MWANAJAMIA

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Rais Dkt.John Pombe Magufuli amesema kuwa katika kipindi cha utawala wake hakuna mwanafunzi atakaye rudi shuleni akipata ujauzito na hata baada ya kujifungua kwani wakiruhusiwa kurudi shule wataharibu wanafunzi wengine. "Kuna watu nimewasikia wanatetea wanafunzi kurudi shule baada ya...
  2. MWANAJAMIA

    Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

    Sio kosa lako tatizo umelelewa katika misingi ya uoga
  3. MWANAJAMIA

    Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

    Makafir wataendelea kuwa makafir daima. Kinachowafanya watoke povu na kutukana ni wivu walio nao. Mashindano yapo na yataendelea kuwepo hadi kiama. Kama mna wivu anzisheni na nyie ya kwenu ya kuhifadhi biblia muone kama mtakatazwa.
  4. MWANAJAMIA

    Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

    M imi kuna hawa Najma Khadija Shakira Zaituni
  5. MWANAJAMIA

    Natafuta mume wa kunioa

    Okay. Ila kama kweli kuwa makini and best of luck
  6. MWANAJAMIA

    Natafuta mume wa kunioa

    Uzi mtamu sana huu. Hahah embu weka basi na picha yako ili tujiridhishe kabisa kabla ya kuja PM
  7. MWANAJAMIA

    Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Hujui muziki tuache tunaojua tuisikilize.
  8. MWANAJAMIA

    Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

    [https://i0] Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara yake mkoani Manyara, amezungumza na wakazi wa mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro na kuizungumzia ishu pia ya pombe za VIROBA. >>>”Tumekaa na wenye viwanda na kukubaliana kuwa wanaotengeneza...
  9. MWANAJAMIA

    MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

    Napata tabu sana kujua ni nini hasa kinacho sababisha ndugu zetu waliopo Msumbiji kufanyiwa ukatili wa hali ya juu. Nadhani hatua za dharula zinapaswa kuchukuliwa haraka iwezekanavyo.
  10. MWANAJAMIA

    Tembelea blog ya MWANAJAMII SERVICES kwa huduma za ki TEHAMA

    Tembelea blog yako pendwa ya mwanajamii services kwa makala zinazo husiana na mambo ya tecnolojia na huduma mbalimbali za IT JINSI YA KUTOA PASSWORDS/PATTERN KWENYE SIMU ZA ANDROID - MWANAJAMII SERVICES
  11. MWANAJAMIA

    Hapa Rais wetu anakagua gwaride au anaonyesha gwaride?

    Alikuwa keshamaliza kukagua hapo. so sioni tatizo kwa alicho fanya na isitoshe pale sio msibani mjue
  12. MWANAJAMIA

    TUCHEKE KIDOGO

    *Looku Looku*[emoji102][emoji102] NAOMBA UVAE MBAVU ZA SPEA *_Mnyakyusa mmoja aliwaalika watu katika mazishi ya mama yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku kadhaa. Mhaya mmoja_* *_akauliza, 'Vya nini hivyo?_* *_Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu sana...
  13. MWANAJAMIA

    kulipia Domain ni shilingi ngapi kwa mwaka

    Domain kwa mwaka ni tsh 30000
  14. MWANAJAMIA

    Pata mafunzo ya satelite dish installation, CCTV Camera installation!

    USISAHAU KUWAJUZA NA WENGINE PIA KWANI HII KITU SI YA KUKOSA KABISA
Back
Top Bottom