Recent content by mwanahapa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Holela

    Mbona unatoa mkwara hapo
  2. M

    JamiiForums Tanzania IFM the best place to be

    Umesikika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Dodoma (UDOM) Kipo Kisiasa zaidi

    Umechoka ibaada za chuo chako unataman siasa eee kitanda usichokilalia?????????
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia kaburi la ajabu laota majani mahali pa jangwa nchini Oman mashallah

    Mbona makaburi mengi tu yanaota majan hata sehem kame hiyo mashallaah aliyoiweka mwisho nahis ndo wale jinipepo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila baada ya miezi mitatu huwapima bikra mabinti zangu

    Watu wa Itumba bwana ushamba tu au ndo mndali wa kwanza kufika mjini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari Mabibo Hostel - UDSM

    Wasomi gan mnalalamika kitu kidogo fanyen kazi afya ni yenu kwa maisha yenu shwain nyie
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa siamini kama kazi zinapatikana kwa kujuana

    Anza biashara faster uaply uchumi wako unapeleka wapi kmowledge hiyo wasomi bwana aaa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuhama chuo kikuu baada ya kusoma semister/mwaka wa kwanza?

    Ndo matatizo ya kutokujiamin na machagulio yako kazana soma hakuna bure bila juhudi binafsi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mfadhili wa kunisaidia ili ni some postgraduate diploma in education chuo cha udsm

    Hiyo ada ni ghali sana kwa post g ya hii field hapo chuon jaribu kuuliza vyuo vingine uone uwezekano
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bob Marley

    Hamfikii senzo ,dube
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya Kitimoto (Pork)

    Haya sasa wanakuja wa macca funga mlango
  12. M

    JamiiForums Tanzania Majonzi ya kupoteza mwanafunzi mwenzetu

    Mbona sion jina ,picha au umetunga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Ndio maana kunawatu huwa wanafuatwa na makundi ya nzi kumbe tizo ndo hilo jitahidi kubana ujambie tumbon hayatanuka
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Kwani ni nani ana chama mpaka na wewe ungependa uwe nacho acha mahesabu ya kifukara unafikiri Tanzania ni kama mtaa wenu kila jambo lina maandalizi yake we mwenyewe unasubili kwa ham kitenge ,kofia majarida nyimbo misafara
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wanandoa

    Weka picha yako tuone kario
Back
Top Bottom