Kila baada ya miezi mitatu huwapima bikra mabinti zangu

Kila baada ya miezi mitatu huwapima bikra mabinti zangu

kukagua pekee haisaidii. Malezi bora ni kumjengea mtoto tabia ya kujiheshimu na kujithamini yeye mwenyewe.
Kesho na keshokutwa ukifa wewe au mamayao nani atawakagua?
Na je kama anafanyiwa uchafu kinyume cha maumbile na anakulindia mbele unapokagua utajuaje?
Au kama anafanya romance na wanaume tofauti lakini analinda bikra je atakuwa anakufurahisha?
Vp kama atakuwa anafanya vitendo vingine viovu kama kutazama porn etc, utafurahia au utakaguaje?
Au we umejikita kwenye ubikra tu?

Mjengee mtoto hofu ya MWENYEZIMUNGU, na mpe mbinu za kujisimamia mwenyewe, atajiheshimu na kukujengea heshima ya kweli.

Mkuu Chukua LIKE Yangu bila kijicho kabisa,Unafaa uwe Dean of Students Vyuo vikuu aisee! Amaa kweli JF Kuna Great thinkers.Tuje tuanzishe mchakato wa kuwa award Wachangiaji Makini.
 
kukagua pekee haisaidii. Malezi bora ni kumjengea mtoto tabia ya kujiheshimu na kujithamini yeye mwenyewe.
Kesho na keshokutwa ukifa wewe au mamayao nani atawakagua?
Na je kama anafanyiwa uchafu kinyume cha maumbile na anakulindia mbele unapokagua utajuaje?
Au kama anafanya romance na wanaume tofauti lakini analinda bikra je atakuwa anakufurahisha?
Vp kama atakuwa anafanya vitendo vingine viovu kama kutazama porn etc, utafurahia au utakaguaje?
Au we umejikita kwenye ubikra tu?

Mjengee mtoto hofu ya MWENYEZIMUNGU, na mpe mbinu za kujisimamia mwenyewe, atajiheshimu na kukujengea heshima ya kweli.
Case closed!
 
...wasi wasi wangu ni hao watoto wako kujiingiza katika mahusiano ya jinsia moja coz kadri unavyo wabana ndo na wao watakavyo kuwa wakitafuta njia mbadala...wakati wewe unanga'ng'ana kupima papucha kumbe wao wanasagana...
 
Umeshajitangazia vita. tegemea wageni wengi kwako ambao watataka waone bikira ikoje. asilimia tisini ya vijana wa kiume sasa hv hawajawahi hata kuisikia harufu hiyo nozzle ya kinamama. Watoto wa Dar na Mbeya wanazaliwa bila bikira ushajidi huo upo.
 
Labda ujiulize siku ukikagua na usizikute hizo disc utafanya nn?kuna mila za kale hazina nafasi dunia ya ss...unachofanya nikugeuza mtaji binti zako wakiolewa na si heshima km unavyodai...Na nakuhakikishia hao binti zko hakuna hta mmoja atakaeondoka nayo...Chezea bongo weye!mikasi tu...
 
Huwa unatumia kidole gani kumkagulia binti yako? Utajali kutuwekea picha za binti zako in A4 size?
 
Gojwa la akili hili tena linaelekea ni pervert hili ,hili likija gegeda binti zake sitoshangaa ,babajinga sana hili,uaminifu kujiamini na kujiheshimu ndio misingi unayotakiwa uijenge kwa wanao!
 
Ww simzima iko cku utawabaka hao wtt. Au wtt kujiingiza kwenye matumizi ya kabang kwan nayo unaipima?
 
what about oral sex unawakagua na midomo na lips zao?
 
Na wewe umefyatua ngapi za watoto wa wenzio?
 
kukagua pekee haisaidii. Malezi bora ni kumjengea mtoto tabia ya kujiheshimu na kujithamini yeye mwenyewe.
Kesho na keshokutwa ukifa wewe au mamayao nani atawakagua?
Na je kama anafanyiwa uchafu kinyume cha maumbile na anakulindia mbele unapokagua utajuaje?
Au kama anafanya romance na wanaume tofauti lakini analinda bikra je atakuwa anakufurahisha?
Vp kama atakuwa anafanya vitendo vingine viovu kama kutazama porn etc, utafurahia au utakaguaje?
Au we umejikita kwenye ubikra tu?

Mjengee mtoto hofu ya MWENYEZIMUNGU, na mpe mbinu za kujisimamia mwenyewe, atajiheshimu na kukujengea heshima ya kweli.
kabla sijamtwisha mwenyezi mungu mzigo nimeona nimjengee hofu ya kuniogopa mimi mzazi wake kwani wahenga walisema mzazi ni mungu wako wa pili hapa duniani pili huko nyuma unakoongelea sisi hatujafika unachokiongelea nafikiri kinaakisi map brain ya kichwa chako na ndo mchezo wako huo japo maneno yako yanaonekana yana busara
 
Bw.Kifimboplayer eee...zingatia "punctuation" ili uzi ukae vema.Kazi njema ya ukaguzi ila usiwavunjie "hishma yao"!
ni kweli rafa hiyo punctuation haijakaa sawa lakini nashukuru wenye vichwa vizuri wamenielewa
 
Back
Top Bottom