Recent content by Mwanagandila

  1. Mwanagandila

    Rasmi Ibrahim Ajib Migomba atia saini kuitumikia yanga miaka 2

    Yanga inaongozwa kizee sana, viongozi waliopo hawaenda na mfumo wa soka la kisasa.. Tazama Azam, Mbeya Situ, Singida United na Simba wanavyowatambulisha wachezaji wao, mdhamini anapata mileage kutokana na brand zinazofanyika, Singida United ya juzi tu lakini press zao kuna banner za wadhamini...
  2. Mwanagandila

    Yanga waanza na Buswita wa Mba FC,pia wamalizana na Haji Mwinyi.

    Huyo Pius Buswita ni kiungo? Buswita ni mshambuliaji, viungo wa mbao walikua Salmin Hozza na Innocent Njohole.. Sasa Lwandamina kama alitala kiungo, mbona mnasajili mshambuliaji?
  3. Mwanagandila

    UFISADI TFF: Malinzi mwogope Mungu, Fedha za TBL dola 425,000 umezichota kutoka akaunti hizi

    Kama TAKUKURU wanaogopa kumpandisha Malinzi kizimbani ili hali wakiwa na ushanidi, basi wamkabidhi Makonda hilo faili tuone kama keshi yake tu hajapandishwa mahakamani
  4. Mwanagandila

    UFISADI TFF: Bil 1.1 zachotwa ndani ya wiki 1, PCCB washikwa na kigugumizi kumpeleka Malinzi Kortini

    Kiwia aliyetajwa na Pro Jay sio huyo wa TFF. Naona majina yamefanana tu sababu wa TFF yupo ofisi hiyo tangu 2010
  5. Mwanagandila

    UFISADI TFF: Bil 1.1 zachotwa ndani ya wiki 1, PCCB washikwa na kigugumizi kumpeleka Malinzi Kortini

    Malinzi ni mjanja mjanja aliyepata dhamana ha kuongoza mpira wa miguu nchi hii.. AzamTv wanalalamika fedha za FA Cup waliyoa zote mil 500, cha ajabu akaelekeza zikasaidie chaguzi za mikoa na kuacha vilabu vinavyoshiriki michuano hiyo vikijtoa wengine kupewa laki 7 badala ya mil 3...
  6. Mwanagandila

    TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

    Aah mie nilisoma nae sekondari Nassoro, zaidi ya miaka 20 sasa tumepotezana nae
  7. Mwanagandila

    TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

    R.l.P Rashid Hemed, Baba Nasssoro! Enzi zake RPC Dodoma alikua anasaga sana gomba na kuvuta ganja eneo la Area D wajenzi
  8. Mwanagandila

    PCCB yawafikisha mahakamani maafisa wa TFF

    Maofisa wa TFF, Martin Chacha na Juma Matandika leo wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh 25 milioni kwa timu ya Geita.
  9. Mwanagandila

    Malinzi tuachie TFF, Umeshindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara tangu Machi 2016

    Hali si shwari katika Shirikisho la Soka Tanzania TFF kufuatia kuwepo kwa hali mbaya, baada ya wafanyakazi wake kuendelea kufanya kazi kwa mwezi wa nne sasa bila ya kulipwa mishahara yao wala marupurupu ya aina yoyote. Habari za ndani zinasema, ukata huo unatokana na ufujwaji mbaya wa pesa...
  10. Mwanagandila

    Katibu Mkuu Yanga ajiuzulu

    Msemaji mtu wa mwenyekiti
  11. Mwanagandila

    Katibu Mkuu Yanga ajiuzulu

    Kauli yako unaionaje na yalitokea Yanga? Tiboroha aliondoka, Pluijm na Niyonzima mambk safi tu wanapiga kazii
  12. Mwanagandila

    Haijawahi tokea TFF miezi 3 bila mshahara

    Wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania -TFF sasa wametimiza miezi mitatu bila ya kulipwa mishahara yao, baada ya kulipwa mara ya mwisho Februari 15, 2016. Kwa kipindi cha miezi mitatu Machi, Aprili, Mei 2016 wafanyakazi hao wameendelea kufanya kazi zao za kila siki, huku Katibu Mkuu wa TFF...
  13. Mwanagandila

    Tanzia: Askari Trafiki Namba F1839 Ali Kinyogori, auawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulika

    Yule askari maarufu wa jeshi la polisi jijini Dar es salaam kwa kuongoza magari/kuelekeza njia za kupita kukiwa na foleni Sajenti Ally Kinyogori amefariki usiku huu kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake Mwandege nje kidogo ya jiji la Dar. Kinyogori alijizolea umaarufu katika...
  14. Mwanagandila

    Alfred Lucas wa gazeti la Jamhuri awa Afisa Habari wa TFF

    Kwa mujibu wa tovuti ya TFF, Alfred Lucas ameteuliwa kuwa Afisa Habari mpya wa TFF kuanzia leo April 27, 2016. Alfred anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyehamishiwa katika Kurugenzi ya Mashindano kuwa Afisa Mashindano na Meneja wa Mifumo pepe ya Usajili (TMS). Alfred ana uzoefu kutoka...
Back
Top Bottom