Recent content by mwanabogoa

  1. M

    Avamia mgahawa Zanzibar na kuchoma watu visu

    Tena basi, hata huku fbook, tumeona mashambulizi mengi karibu ya mwezi wa Ramadhan na ndani ya Ramadhan. Hakika chuki zao zinapofusha uwezo wao wa kufikiri.Story inaeleza kuwa hata Hussein kajeruhiwa,wao hawalioni hilo. Allah Atuhifadhi na Atuongoze sisi na wao.
  2. M

    Avamia mgahawa Zanzibar na kuchoma watu visu

    Maelezo yanasema tukio limetokea saa 1.20 USIKU. Aidha maelezo yanaonyesha akiwa anatokomea baada ya tukio tajwa, alimjeruhi mtu mwingine, aitwaye........HUSSEIN.
  3. M

    Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Kuwashindisha na njaa watumishi wa ndani wasio Waislamu sio sahihi,kwa kuwa sharti la kwanza la kufunga funga ya Ramadhan ni kuwa Muislam. Wanaofanya hivyo wajirekebishe.
  4. M

    Dola ya Kiislam yatangaza kuhusika na shambulio la Manchester, Uingereza

    Kwa mtu anayeiruhusu akili yake kuwa huru, angependa kujua jinsi Qur-an inavyosema kuhusu huo ugaidi.
  5. M

    Upuuzi huu wa CCM upingwe kwa nguvu zote!

    Naomba nifahamishwe, endapo Viongozi wa Chama cha siasa wanahitaji kukutana na watendaji wa Serikali,kama vile Halmashauri kama hiyo ya Monduli, utaratibu wa kuwasiliana nao kupitia kwa Mkurugenzi ambaye ndiye mkuu wao wa kazi,unapaswa uwe vipi?
  6. M

    Hivi kiburi ni nini?

    Kiburi ni kudharau watu na kupinga haki.
  7. M

    Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    AZAM TV unapata TV1 ni ya Tanzania. Mpambano unaendelea, raundi ya sita
  8. M

    Papa Francis kuongoza ibada ya Wakatoliki Misri

    Sina hakika kama mtoa maoni haya ni Muislam, lakini kwa vyovyote iwavyo,kila anayetaka kuujua Uislam anayo fursa ya kujifunza kutoka vyanzo vikuu viwili vilivyo muhimu,navyo ni Qur-an na Sunnah. Historia ya Mtume Muhammad SAW inashuhudiwa kuwa mmoja wa wake zake, Maria alikuwa ni...
  9. M

    Papa Francis kuongoza ibada ya Wakatoliki Misri

    Uislamu unaruhusu kuwepo kwa wasio Waislamu,na jambo hilo ni mashuhuri hata wakati wa Mtume Muhammad SAW, pale Madinah walikuwepo Wayahudi na Wakristo wakiwa chini ya himaya ya Uislamu. Huo ndio Uislamu unaozingatia kuwepo kwa watu na uhuru wao wa kuabudu wanachokiamini wao wenyewe.
  10. M

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Hapa kwetu Tanzania, na katika nchi nyinginezo adhabu ya kifo hutekelezwa. Katika shariah ya Kiislamu,adhabu ya kifo pia ipo. Tujadili kwa hoja, kuna tatizo lipi hasa? Kuuawa hadharani au kwa kuwa adhabu hiyo imetolewa katika nchi yenye Waislamu wengi?
  11. M

    Hali ya barabara Muheza Pangani ikoje wakati huu wa mvua?

    Tanga-Pangani Road wakati mwingine huwa na matatizo pale Mgwisha-Tongoni na katika madaraja ya Kirare hasa mvua zikizidi mno. Hali ikoje siku hizi.tunataka kuja Pangani!
  12. M

    Msaada: Kufanya mapenzi na wake zako wawili kitanda kimoja ni ruhusa katika dini ya Kiislam?

    Imesimuliwa kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Twaeni tabia tatu kutoka kwa kunguru; kujamiiana kwa siri, kwenda kutafuta riziki mwan- zoni mwa asubuhi, na akili na hadhari dhidi ya hatari zinazoweza kujitokeza.”
  13. M

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Maurice Bucaile,Mwanasayansi na mwandishi wa kitabu kiitwacho: The Bible,Qur-an and Science, ukimsoma unaweza kupata mengi kuhusu huyo Firaun alifariki katika maji. Huyo ndiye ambaye Qur-an ilimzungumzia kuwa atahifadhiwa ili iwe mazingatio kwa watu. Mtoa post namshauri apate wasaa wa kukipitia...
Back
Top Bottom