Hajielewi huyo sasa kama wanatoa na yeye anakula si wa moja nini kuleta mada huku. Kama hawatokupa si utawa lalamikia kuna watu akili zao za ajabu sana.!
Maisha ya huku ni kuwa na uvumilivu kuna wahindi wanauzi na wanakuchukulia unahela do umakini uwepo.
Kuiheshimu hela maana rupii inakatika haraka.
Cha kufanya ni kununua stock ya mwezi mzima ya chakula kuiweka ndani.
Usipende kugombana nao kama kupigana nao maana hata wakikuua hawana kesi...
Kama CUF hamtoweza kumwondoa Lipumba, msubiri mwone anavyozidi kuiharibu CUF maana CUF hamjielewi kabisa.. Hasara kama wasimamizi wa chama hamwoni inaleta hasira sana
Dah Voda hata usiiguse kwenye Swala la Internet ipo moto hatari, ui tumie kwenye simu, smart TV kotekote pouwa...ungesema Tigo sawa...Na wakina Airtel na Halotel sijui 4g wanampango kuileta lini
Amani tunayo na ishakuwa damuni kwetu sasa baada ya kuipata what is next tukalie kimya ubashite na vyote vinavyodidimiza nyuma hii nchi kwa kigezo cha kuitumia amani haipo sawa..amani hutoweka kama viongozi wameshindwa kusikiliza mahitaji ya wananchi na kutumia ubabe usio na tija
Anatudhalilisha wanaume wote sio tu eti ana umri mdogo ndo chanzo akili finyu kutojielewa na utoto wa fikra..kuwa na miaka mingi sio upeo wa mtu kukuwa kifikra.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.