Kitendo cha Vodacom kutuuzia internet na kutupa nguvu ya e ni ugaidi

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,494
862
Jamani hawa vodacom mbona wakatili hivi? Yaani sie wa Morogoro wanatuuzia data halafu nguvu yake ni e, hakuna 3g au 4g wala H. Huu ni ugaidi wa kimitandao muache Mungu anawaona. Mnatutia hasara jamani
 
Dah Voda hata usiiguse kwenye Swala la Internet ipo moto hatari, ui tumie kwenye simu, smart TV kotekote pouwa...ungesema Tigo sawa...Na wakina Airtel na Halotel sijui 4g wanampango kuileta lini
 
Labda Dar huku Moro ni majanga jamani tusaidieni hela yangu inaniuma
 
Mi voda sitaki hata kuwasikia laini yao nilishatupa zamani sana
 
Jamani hawa vodacom mbona wakatili hivi? Yaani sie wa Morogoro wanatuuzia data halafu nguvu yake ni e, hakuna 3g au 4g wala H. Huu ni ugaidi wa kimitandao muache Mungu anawaona. Mnatutia hasara jamani
Afadhali wewe upo Moro wanaweza kutoa kisingizio cha umbali. Mimi nipo hapahapa Dar lakini ni kizungumkuti kitupu.
 
Moro iko poa sana, kuna wakati naangalia hadi movie online wala haizingui, ila kwa Dar nakuunga mkono. Nilikaa huko kama siku mbili wiki iliyopita, nilijuta kuwa na line yao pekee. Bando langu liliisha bure. Sijui tatizo ni nini?!
 
Jamani hawa vodacom mbona wakatili hivi? Yaani sie wa Morogoro wanatuuzia data halafu nguvu yake ni e, hakuna 3g au 4g wala H. Huu ni ugaidi wa kimitandao muache Mungu anawaona. Mnatutia hasara jamani
wewe kifaa chako kina matatizo me kwa dei natumia zaidi ya gb5 voda wako njema kaka
 
Jamani hawa vodacom mbona wakatili hivi? Yaani sie wa Morogoro wanatuuzia data halafu nguvu yake ni e, hakuna 3g au 4g wala H. Huu ni ugaidi wa kimitandao muache Mungu anawaona. Mnatutia hasara jamani
Hama tu.Mitandao yote hii bado unalia lia nini?
 
Voda wahuni sana mi nimeamua kuwachia laini yao, najiunga bundle bk 2 afu napata bundle hata internet hakifungui na nipo kwenye mnara wa voda , dah kwel ma bashite yapo hadi kwenye kampuni
 
Jamani hawa vodacom mbona wakatili hivi? Yaani sie wa Morogoro wanatuuzia data halafu nguvu yake ni e, hakuna 3g au 4g wala H. Huu ni ugaidi wa kimitandao muache Mungu anawaona. Mnatutia hasara jamani
Sasa mnalialia nini? sisi wa dsm si mnatuona oya oya.....!
 
Itakua setting za simu yako mkuu, hamna mtandao unaofikia vodavom kwa kasi ya internet
 
Back
Top Bottom