Niliwahi kusema, kosa kubwa alilofanya Mungu ni kuwaumba waafrika

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,242
Very strange, watu wasiokuwa na kazi wanashangilia watu kufukuzwa kazi, they are quite happy! celebrating! Niliwahi kusema kuwa kosa kubwa alilofanya Mungu ni kuwaumba waafrika. Niliwahi kusema Tanzania ingeliumbwa upya na viumbe wapya.

Utashangiliaje mateso ya mwenzako? Pamoja na makosa ya kufoji, huruma na utu tuwe navyo! Ndiyo maana wanaharakati wanapigana adhabu ya kifo iondolewa, kutetea utu pamoja na kuwa mhusika aliua.
 
Itakua hawafamu kua hao walokua wafanyakaz ndo wanafanya pesa iingie kwenye mzunguko na wao pamoja na familia zao wapishane kwenda toilet, hayo yote ni kwasababu ya kukosa elimu, ndomana kuna mtu mmoja vipaumbele vyake vilikua elimu, elimu na elimu, coz mtu akiwa hana elimu haelew chochote,. hata ukimpa million kumi haitamsaidia in long run coz hajakombolewa kifikra, sasa hao washangiliaji hawana uelewa huo, kwamba watu wakiwa makazin na wao wanapata rizki huko mtaani.

Biblia inasema ''watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'' pia inasema ''mshike sana elimu, usimwache aende zake''
 
Sijaona ujinga MTU anataka kujua mwafrika alitoka wapi,MTU huyu ni mwerevu MTU huyu ni mdadisi.Waafrika IQ zetu zimejaa mapovu ni vizuri tukijichunguza kwanini tuko tofauti na watu wa mabara mengine
Kwa hakika tuko tofauti, hili halina ubishi. Nimeishi na watu kutoka mabara yote (Europe, Asia, America, Latin America, Australia na Afrika). Nimejiridhisha kwa asilimia 200 shida ipo kidogo kwa hii ngozi yetu regardless anaishi wapi na ana elimu gani.
 
Ndio yale yale ya Maskini kushangilia Kufilisika kwa tajiri, Yaani sasa amerudi kuungana na yeye kwenye Umaskini.
Hujui wanaoshangilia ni akina nani? Ni wale ambao walikuwa na sifa lakini hawakupewa hizo nafasi.Hilo kundi la wafoji vyeti limewatia umaskini watu wenye sifa ambao wao na familia zao wanaishi kwa shida wakati hali ilitakiwa isiwe hivyo.wenye sifa wanakufa maskini matapeli wa vyeti wanapeta wakila na kulala vizuri.Hilo hata MUNGU hapendi wamemnkosea hadi Mungu kwa kumkosea na kuwakosesha wengine riziki halali ambazo wangezipata kwa vyeti vyao halali.
 
Very strange, watu wasiokuwa na kazi wanashangilia watu kufukuzwa kazi, they are quite happy! celebrating! Niliwahi kusema kuwa kosa kubwa alilofanya Mungu ni kuwaumba waafrika. Niliwahi kusema Tanzania ingeliumbwa upya na viumbe wapya.

Utashangiliaje mateso ya mwenzako? Pamoja na makosa ya kufoji, huruma na utu tuwe navyo! Ndiyo maana wanaharakati wanapigana adhabu ya kifo iondolewa, kutetea utu pamoja na kuwa mhusika aliua.

kwahiyo unamkoso Mungu kwa kuwaumba wa afrika? kwanza una uhakika gani kama wa afrika waliumbwa na Mungu? tena huyo munguunemuongelea ni mungu yupi? punguza Munkari mkuu ni mapema saana kutokwa.
 
sisi ni matakataka tu na tutazidi kuwa takataka mbele ya uso wadunia sababu tunataka wenyewe kuwa takataka! Na tutaabike zaidi kwa upumbavu tunaojitakia.
 
Very strange, watu wasiokuwa na kazi wanashangilia watu kufukuzwa kazi, they are quite happy! celebrating! Niliwahi kusema kuwa kosa kubwa alilofanya Mungu ni kuwaumba waafrika. Niliwahi kusema Tanzania ingeliumbwa upya na viumbe wapya.

Utashangiliaje mateso ya mwenzako? Pamoja na makosa ya kufoji, huruma na utu tuwe navyo! Ndiyo maana wanaharakati wanapigana adhabu ya kifo iondolewa, kutetea utu pamoja na kuwa mhusika aliua.
Yawezekana wewe huna elimu wala cheti chochote cha taaluma.Unajisikiaje mtu asiyestahili kuwa kwenye wadhifa fulani na sifa hana wakati kuna watu wamemaliza muda mwingi vyuoni na wana vyeti safi na huku nafasi zao zimekaliwa na wafoji vyeti?Wahurumie kwanza wenye genuene certificates.
 
Kwa hakika tuko tofauti, hili halina ubishi. Nimeishi na watu kutoka mabara yote (Europe, Asia, America, Latin America, Australia na Afrika). Nimejiridhisha kwa asilimia 200 shida ipo kidogo kwa hii ngozi yetu regardless anaishi wapi na ana elimu gani.

Mkuu unaweza elezea kidogo kuhusu hao wa latin america? uliiishi na wana nchi gani na kwa muda gani na wao wana ubora gani kuliko sisi....
maana huko guatemala kuna watu bado wanatembea uchi, pia colombia bado kuna waasi wana roho mbaya zaidi ya alshabab wanauwa, wanabaka na kupora mali. huko chile kuna ombaomba kuliko wa wadodoma mpaka nicaragua.... naona mna hasira saana.
hhu ni upepo tu utapita kua na vyeti fake sio mwisho wa maisha
 
Yawezekana wewe huna elimu wala cheti chochote cha taaluma.Unajisikiaje mtu asiyestahili kuwa kwenye wadhifa fulani na sifa hana wakati kuna watu wamemaliza muda mwingi vyuoni na wana vyeti safi na huku nafasi zao zimekaliwa na wafoji vyeti?Wahurumie kwanza wenye genuene certificates.
Nina masters......................................... in Science and LLB
 
Back
Top Bottom