Recent content by Mwana-X-Harvey

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi anasema dini ni ugonjwa wa akili

    Dini ni kama cancer ya spirit!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

    Disco kwa maana nyingine "Discontinued from studies" Hata hivyo sio mwisho wa masomo kwa anayehitaji kujiendeleza. Akili unazo ametoaja jibu zuri.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mmeshawai-cheat, ni sababu gani ilikupelekea kufanya hivyo?

    Mi naona sometimes ku cheat kunaimarisha ndoa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kenneth Kaunda atimiza miaka 93

    Hivi ni kwa nini Kenneth Kaunda always like carry white handkerchief on his right hand?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Huna lolote... hayo yote ulioongea unahisi... acha kudanganya watu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Marehemu Dr Sebi

    asante sana dada... ina leta maana sana. Thank you for sharing
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, aongoza kikao cha Kamati kuu Tanga

    Mbowe swala la vyeti kakaa kimya! Mmm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi mgeni humu JF

    Raha ya mgeni awakute wenyeji! Karibu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

    Usitake kujifanya umesoma kwa kisingizio cha kuwa katika jamii forum.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Mi nilijua katoa mimba yako?... Wee vipi bwana!! Bata ukimchunguza sana huwezi kumla. Ganga Yajayo.
Back
Top Bottom