Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, aongoza kikao cha Kamati kuu Tanga

Huyo Jamaa pembeni ya mbowe ni nani?? Mbona kaachia midevu ka osama??
 
Vyama vya ujanja ujanja utavijua tu.
Juzi kamati kuu imekaa imepitisha wagombea ubunge wa EALA.
Leo kamati kuu inakaa kupitisha wagombea wa kanda ya kaskazini.
Hapo hatumwi mtoto sokoni,kamati kuu ya kimagumashi kama ya kanda Nyasa,Mbowe ana majina yake mfukoni na ameita watu wake tu hata akidi haitimii hapo.
Kamati kuu inaitishwa hovyo hovyo kama kikao cha kahawa?hata bodi ya wakurugenzi ya kampuni yoyote makini haiitwi kila baada ya siku mbili.
Maana yake kesho kutwa kutakuwa na kikao cha kamati kuu kuchuja wagombea wa kanda ya ziwa,

Mbowe aeleze kamati kuu kwa nini anauza madawa ya kulevya, piá aele kwa nini majina ya wabunge wa Afrika Mashariki ametoa mfukoni mwake??

Kikao cha kamati kuu au wizi tu, kikao kinafanyika mwezi mara mbili? Si juzi tu walifanyia DSM.

Jamani mbona hamna huruma na rasilimali za chama ninyi viongozi wa CHADEMA?

Hii kamati kuu kwakweli inakula pesa za ruzuku peke yake....kila siku wao vikao tu. Sasa wako Tanga duh
Nanyi mmesema...!!
 
qurum ya cdm kupitishaa maamuz ni kiasi gani mbona naona watu watatu tu hapo mbele
 
Back
Top Bottom