Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

Below GPA
Ukisha disco huwezi kuendelea na masomo chuo hicho kwa wakati huo huo, tena kama ulikua unafadhiliwa na HESLB ndo inakua noma zaidi maana hata ukiomba next year kupata mkopo ni ndoto.

Kimsingi kama familia inajimudu mpeleke chuo kingine(kama alikua government mpeleke private), huko ataanza masomo upya kwa degree program ile ile au nyingine yoyote aitakayo.

Ogopa sana kupata discontinue kama wewe ni mtoto wa maskini kama mimi, ndoto zako za kusoma degree zinaweza kuyeyuka forever.
Mpe pole kijana, asikate tamaa

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Kesi yenyewe alikuwa practical ambako alikuwa unfairly discontinued na academic results zikaja with below GPA. Sasa ana appeal practical judgement
 
Kesi yenyewe alikuwa practical ambako alikuwa unfairly discontinued na academic results zikaja with below GPA. Sasa ana appeal practical judgement
Practical peke yake haiwezi kumfanya mtu apewe DISCO, the fact huyo amefail masomo yote au almost yote, kiasi kwamba s/he dont qualify hata kufanya supplementary ,the best option as you have been advised kama ada ipo akaombe chuo kingine apige degree yake fresh tu, Ila Mkopo wa uncle Magu asahau

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Disco kwa maana nyingine

"Discontinued from studies"

Hata hivyo sio mwisho wa masomo kwa anayehitaji kujiendeleza. Akili unazo ametoaja jibu zuri.
 
Ameambiwa arudi baada ya miaka miwili
 
Navyofaham vyuo vingi ni Either akae mwaka mmoja au miwili kurudia same course same 2nd year , au akaanze kwingine.
 
Navyofaham vyuo vingi ni Either akae mwaka mmoja au miwili kurudia same course same 2nd year , au akaanze kwingine.
Aliaply kwingine wamemwambia wanataka both academic and practical references, amekonda hapo nani anataka madisco?
 
Kesi yenyewe alikuwa practical ambako alikuwa unfairly discontinued na academic results zikaja with below GPA. Sasa ana appeal practical judgement
Hii disco inatenguka,very simple.
Anatakiwa aapeal immediately na asimamie hiyo practical judgement..

Ahakikishe katika barua yake ana adress wafuatao

Vice counselor
Chairman of senate
Deputy academic and research
Dean of students
College principal
Dean of academics
Head of department
Course director.

Kwahiyo barua yake iwe na adress nane,na awe very seriuos ataiondoa ataitengua hiyo disco.

Note,mimi nilitengua discontinues from studies two times on the same university,sikurudia mwaka hata mmoja.

Halafu mwambie asome vizuri examination regulations na prospectus chuo chake,ile ndo ina siri ya kutengua disco.
 
Asante sana mkuu
 
His practice was stopped four weeks b4 finishing time it looks like there were dome sort of communication between academic team and placement because that happened immediately after results bn released
 
Nimegundua system za nchi nyingine ni tofauti
Ok ila kuna jamaangu alishawahi disco akaongea na walimu wawili akakata rufaa matokeo yakabadilishwa course 2 so akarudi fanya supp. mengine aka carry alifanikiwa ku graduate.
 
Ok ila kuna jamaangu alishawahi disco akaongea na walimu wawili akakata rufaa matokeo yakabadilishwa course 2 so akarudi fanya supp. mengine aka carry alifanikiwa ku graduate.
Anasema mwaka wao watu wamefeli sana supp ni nyingi mno ila anasimamia a kuondolewa kwenye practical wiki nne kabla ya mada
 
Mrejesho jamani baada ya kusoma university's appeal procedure process anaapeal katika misingi ya harrasments kwenye practical zilizoleta academic downfall na ana evidence za emails na practical paper work
 
Back
Top Bottom