Recent content by MWANA WA DAUDI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Madawa ya kulevya yanaangamiza watoto wetu. Hata mimi niliangalia, je, mada ya jana madawa ya kulevya kuendelea kuangamiza vijana wetu, nini kifanyike? AWEDA alimwuliza Nzowa kuwa wewe unatuhumiwa kubambika kesi ya mtoto wa Mengi je, jibu hoja. Yule dada alitaka kumsaidia tu Nzowa. Ukweli swali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM acha udini, waumini wa Msigwa siyo nguruwe!

    Mch Msigwa is great, hana mfano. Huu upole wa wakristo utatugharimu tusipokuwa makini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makamba: Hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani ni Nyepesi

    Kwa jinsi ulivyochambua it is very possible. Inawezekana kabisa, dogo amekaa sana na JK ikulu kama mwandishi wake. Hawezi kujitofautisha na mlezi wake. Like father like son - hujui.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari amjibu Mwigulu Nchemba

    Ninacheka tu ila sijaelewa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Udom kwa waka moto

    Ila mwache udini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Huku ni kusafiri au ni kupotea ramani kwa JK asiye na washauri;
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuanzisha Chuo cha Kutoa Diploma. Natafuta mtaalam wa kunishauri vizuri

    Wanajamvi, hopefully you are all fine. Kama kichwa kinavyojieleza vizuri, nataka nianzishe chuo ambacho kazi ya kuwaelimisha wanafunzi waliofeli elimu ya kidato cha nne (siyo zero but div 4 yo yote) ili waweze kutimiza ndoto zao. Chuo hicho nafikiri nikisajili ama VETA au NACTE. Ndo maana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Mpambano kati ya Rushwa na uadilifu??? Hauna tija.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Zuberi Zitto Kabwe

    Ni kweli kweli bwana, maana hao viongozi wenzake wa Chadema ndio waliomtuma akatetee Downs/RIchmond, Mhando wa Tanesco nk.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wana CCM Ilala (Dar), wakisherehekea jana, wakati taifa linaomboleza msiba

    Chama cha hatari sana hii. Halafu hii picha ni ya kweli mimi nilisikia hicho kikao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    Huyo JK wako na Shain waliofanya uzembe watu wakafa na Dr Slaa anayeoa nani tumlaumu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge litamfukuza Zitto kwa "kutokuhudhuria" vikao; hasaini kupokea posho!?

    Wakuu kuna tetesi nimezipata kisha nikaunganisha dot zangu nami nikaona kuna kaukweli. Kuna kigogo mmoja wa ccm kaniambia kuwa Zitto anaweza kufukuzwa ubunge kwa mpango maalum uliosukwa na watu kadhaa akiwepo Kikwete, Makinda,Kabwe Zitto na wengineo. Lengo lao ni kumjenga tena Zitto awe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wanafaa kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA!

    Zitto anayejengwa JK hapo kwenye Picha anahusikaje Chadema? Mpelekeni ccm huyo haaminiki tena? Jk akampe kazi nyingine.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mhe Zitto Kabwe kuwasilisha hoja binafsi kufufua zao la katani (bunge lijalo)

    Hiyo hoja Kikwete atampigia Madam Speaker ili ipite, ili jamaa aendelee kuongeza umaarufu. Wakumbuka sakata la Kuwa m/kiti wa Mashirika ya Umma? Jk aliweka mkono wake. Lengo Jk anataka Zitto amrithi Mbowe.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bunge kutooneshwa live kwenye TV, kisa CHADEMA

    Wadau, Leo nimesoma makala kurasa za mwisho mwisho ktk gazeti la Rai la wiki iliypita ( siyo la jana) kuwa kuna mjadala wa kichini chini kwamba bunge lisioneshwa live ili kupunguza aibu ya serikali inayotokana na wapinzani haswa CHADEMA. Ieleweke kuwa mwandishi wa makala naye ameliweka kama...
Back
Top Bottom