Hii inanikumbusha ile stori maarufu ya jamaa alihudhuria sherehe na msiba kwa wakati mmoja.Aliweka kichwa upande wa msiba akawa analia halafu masaburi akayaweka kwenye sherehe so akawa anakata kiuno bila hata ya kusikia muziki huku upande wa msiba michozi inamtoka.Hii ndo Sisiemfu
mimi sijui nikoje siku hizi nikiona mtu anavaa hizi nguo za kijani ki ukweli namshangaa sana sio kwamba eti napenda chama fulani ila namuangalia anashabikia hili lichama kwa misingi ipi haya maisha magumu tuliyonayo hivyo yeye anaona ameridhika wadogo zetu wengi watakosa mkopo bado unasema ccm juu?? sina la kusema ngoja nikae kimya tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.