tumechoka mwacheni nchemba eeeee toeni hoja
Nchemba aachweeee!? we vipi? kisa cha kuachwa? alazima ajue Tanzania ni kubwa kuliko yeye aliye fanywa Mbojo!
tumechoka mwacheni nchemba eeeee toeni hoja
.......
.......![]()
+255 kama umekomaa kiakili ungetaka Nchemba a-produce evidence za makabidhiano ya hiyo pesa, nafahamu kwa mtu msomi tena wa uchumi hawezi kutoa hiyo pesa kama njugu!alete either bank deposit slip ikiwa inaonesha hiyo hela ilikuwa deposited kwenye Ac # ambayo obvious itakuwa na jina la Mh.Nassari au kama ni kwa hizi huduma za Tigopesa, M-pesa na airtel money huwa inaproduce Receipt # na afanye hivyo basi, na pia kama ilikuwa ni kwa kukabidhiana ana kwa ana basi kutakuwa na karatasi ya makubaliano ambayo wawili haoo watakuuwa kila mmoja amesaini kuafiki makubaliano yao.Kinyume na hapo huo ni uzushi unapaswa kutupiliwa mbali!Alimjibu na kuhusu ile ela aliyopewa na Mwigulu?
ndio mkuu,alitokwa na machozi bungeni juu ya sakata la ma albino kuuwawa...hivi pinda aliwahi kulia? jamani mi cjaelewa hapo.
Wakati kenya wakipanga kuwapatia laptops wanafunzi wote, sisi bado tz tunakimbiza mwenge wa uhuru kuzindua miradi binafsi kama car wash ya cet garden arusha. Hata miradi ya serikali ya kuzindua hakuna tena. Wakati wenzetu wameenda mwezini mwaka 1963, sisi mpaka leo tunakimbiza kibatari kwa mamilioni.
![]()
Wakuu zangu RC. na Mcheza Karate, hata mini hapo nimeshindwa kabisa kuelewa CCM ndo yupi, CHADEMA ndo yupi!
Mbona wana shuhuli!?
hawa madubwasha kama nawajua vile? sio wa CoeT udsm
.......