Recent content by Mwana va Mutwa

  1. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Uchaguzi wa 2020 niliwekewa Sumu kwenye Chakula (Kitimoto) lakini namshukuru Hayati Membe aliingilia Kati

    Mshindani mkuu wa 2020? Au hilo neno mshindani mkuu lina maana nyingine ambayo siielewi? Mtu ambaye kwenye kura za maoni CCM alipata kura sita na hakutoboa hata katika tatu bora anakuwaje mshindani mkuu kwenye uchaguzi mkuu ambao Msigwa aligombea kupitia CDM? Kama aliepata kura sita anakuwa...
  2. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Haunted houses zipo, chukua hatua

    Majini yanaogopa giza yanawasha taa
  3. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Kwanini vyama vingine wasimuwekee pingamizi kwa hoja hizo ili aondolewe kwenye mchakato?
  4. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Mambo ya kushindanisha vidimbwi na bahari haya,kwani wakishindana wao kwa wao kuna shida gani
  5. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Wakati Dkt. Kigwangalla anagawa baiskeli kama karanga, wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mshahara miezi miwili sasa!

    kuna uhusiano gani waziri kutumia pesa yake binafsi kwa matumizi aliyoamua na watumishi kukosa mishahara?
  6. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda azuiliwa kuingia katika kongamano la Wanawake wa CHADEMA

    Wote waliokuwamo mule ni wanawake, au vipi
  7. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Is Mufuruki suffering the colonial legacy or nobility syndrome?

    Hivi hakuna wabongo wanaosoma huko nje kwenye elimu za kuwaandaa hao CEO's? Au tukisema mbongo lazima awe amesoma hapahapa bongo miaka yote?Mimi naamini wapo wabongo wenye hizo sifa, iwe walisomea hapa ndani au nje, lakini wabongo wapo wenye sifa ,asitudanganye huyo bilionea.
  8. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Kuna mdau hapo kasema kashindwa kuwaondoa kwakuwa wanamizizi
  9. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Sawa yeye kaogopa kuwafukuza, na wao pamoja na mizizi hiyo waliyonayo wameshindwa kujiondoa?
  10. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

    Afadhali leo nimejua hii kitu inaweza ikawa ni kawaida, nilikuwa nadhani nina matatizo kabisaaaaa
  11. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Balozi Ally Karume anamjibu mama Samia Suluhu kuhusu nafasi namba mbili ya Tanzania

    Kwani chanzo hasa cha hii stori ni nini? Maana inasemwa tu Ally kasema hivi, kasemea wapi, alikuwa anawaambia /anamwambia nani, au aliandika wapi hayo maoni yake
  12. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta simulizi ya Eugene Maganga kuhusu uhaini

    Wakuu, Kama kuna mwenye kuweza kuwa na ile simulizi ya kapteni mstaafu Eugene Maganga kuhusu mpango wa kuipindua serikali ya Tanzania msaada tafadhali. Au kama kuna anaejua kama iliwahi kuwekwa humu anielekeze thread husika. Natanguliza shukrani.
  13. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania RIZ-1 Acha uoga kwa Bashite

    Anyway kwa viwango hivi sasa nimeelewa kwanini ulileta humu huu upupu
  14. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania RIZ-1 Acha uoga kwa Bashite

    kwahiyo unajua kwamba ni fake akaunts, nia ya kuleta humu ilikuwa nini hasa?
  15. Mwana va Mutwa

    JamiiForums Tanzania RIZ-1 Acha uoga kwa Bashite

    watu kwa kupenda umbea, khaaa , source page ni fake, hiyo ya riz yenyewe inaweza kuwa fake,lakini watu wanatiririkaaaa, huyo poul makonda ndio sawa na paul makonda? upuuzi, na utoto
Back
Top Bottom