Is Mufuruki suffering the colonial legacy or nobility syndrome?

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
3,706
Points
2,000

Patriot

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
3,706 2,000
That thieving CEO. He never had humble beginning and possibly, he is still part of that set of corrupted mind. Never listen to people who firstly met Lucifer, before realizing God's norms. He must have been promised something in acceptance of that lady as the Voda CEO. I suspect! Kwanza yeye mwenyewe atueleze alichokifanya CRDB hadi ikafa kabla haijafufuliwa na akina Kimei.

Kuna katabia ka hawa wafanyabiashara kujiona wako juu, Wakiandika hata vitabu na kusimulia historia za maisha hawasemi walivyoiba, hawasemi walivyouza madawa ya kulevya. Eti wamefanikiwa kwa bidii, yes, but through unethical pathway! Anataka nasi tupitie njia hiyo, au tumsaidie kufanikisha udhaifu huo? Noooo!

He blames Tanzania, he blames the system, he blames education system. Now, let us learn from this insensitive business creature. Where or which institution did that lady went before qualifying for the nomination?
Hivi huyu chizi alishajibu haya maswali yako? Sasa naona kadaka issue ya Assad! eti anamuona ni coolest! Udini unatuletea taabu sana!
 

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
3,706
Points
2,000

Patriot

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
3,706 2,000
Nasikia kwamba Bwana Mufuruki aliwahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya shirika la ndege laTanzania (atc). Anaweza kutueleza kulitokea nini mpaka shirika letu kufikia hatua ya kuwa hoi bin taabani
Ni mtu tu mwenye traits za wizi na kwa sasa anaamini yeye kuina pia ni sehemu ya ubora wake, kama uonavyo mbakaji akijivunia vitendo vyake.
 

Ndinani

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
5,864
Points
2,000

Ndinani

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
5,864 2,000
Nasikia kwamba Bwana Mufuruki aliwahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya shirika la ndege laTanzania (atc). Anaweza kutueleza kulitokea nini mpaka shirika letu kufikia hatua ya kuwa hoi bin taabani
Mufuruki akiwa Mwenyekiti wa shirika letu la ndege, walilihujumu sana shirika akishirikiana na makaburu wa SAA. Hawa wakina Mufuruki ndio genge liie lile la Sahamte wa Mkonge; wanajifanya wafanyabiashara wazalendo huku nyuma wao ndio wanakwepa kulipa kodi na kushirikiana na wageni kuiba rasilimali za Taifa!!
 

Forum statistics

Threads 1,358,415
Members 519,294
Posts 33,167,800
Top