RIZ-1 Acha uoga kwa Bashite

RIZ-1 Acha uoga kwa Bashite

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Siamini kama leo hii Riz1 anamuogopa DAB kiasi hiki [emoji28]

Yaani BASHITE anapost taarifa hata kabla haijawa delivered Riz huyu hapa kasha-SHARE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli picha limegeuka wewe si ndio jamaa alikua anakufunga kamba za viatu pale white house??

Wote tuisome tu namba kwa kweli

Ova n out!!
2019-07-26%2008.28.47.jpeg
 
watu kwa kupenda umbea, khaaa , source page ni fake, hiyo ya riz yenyewe inaweza kuwa fake,lakini watu wanatiririkaaaa, huyo poul makonda ndio sawa na paul makonda?
upuuzi, na utoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom