watu kwa kupenda umbea, khaaa , source page ni fake, hiyo ya riz yenyewe inaweza kuwa fake,lakini watu wanatiririkaaaa, huyo poul makonda ndio sawa na paul makonda?
upuuzi, na utoto
Kwani huo ujumbe una ubaya gani?? Mbona unatumia nguvu nyingi kwenye jambo la kawaida saana, mie nimezungumzia muda wa reply time tu, au we niambie ku.a ubaya gani hafi mtu afake account??
Mbona unashangaa mkuu? Huo ndio uhalisia tena tumshukuru RC kwa kuliweka wazi maana hakutaka kudanganya au kufichaficha
how comes? tz to be owned by CCMHii nchi ni kwa ajili CCM???????!!!!!!!
Jana Musiba amesema Magufuli anamlipa milioni 60 kwa mwezi ili tu amsifie. Hata mkiacha kununua magazeti yake he doesn’t care.Eti nchi ya CCM, CCM hii hii inayochafuliwa na musiba hadharani kwenye vyombo vya habari?
Mpuuzi fulani wa lumumbaMusiba ni nani?
Huyo sio Makonda, By the way I stand with RIZ kuogopa ni muhimu serikali hii kukua, kuteka ni kitu cha kawaida na kidogo sana maana una mke na watoto wadogo wanaokutegemea kuna makini na bashite ni muhimu hasije kukuset watoto wakakosa babaSiamini kama leo hii Riz1 anamuogopa DAB kiasi hiki
Yaani BASHITE anapost taarifa hata kabla haijawa delivered Riz huyu hapa kasha-SHARE
Kweli picha limegeuka wewe si ndio jamaa alikua anakufunga kamba za viatu pale white house??
Wote tuisome tu namba kwa kweli
Ova n out!!View attachment 1162982
We kondoo huwezi elewa