Sisi mgombea wetu hawezi kushiliki, sababu anamajukumu mengi ,ya kitaifa na kimataifa.

Alisikika mlevi mmoja akisema.
 
Nashauri tu kuwa mwaka huu kabla ya kuanza kuzunguka kufanya Kampeni kuwepo mdahalo kwa wagombea wakuu watatu.

Dr. John Pombe Magufuli aelezee mambo makuu aliyowatendea watanzania na mipango yake ya mbeleni.na lengo lake la kutaka kupanua zaidi. Huyu ni mgombea ambaye anapenda kuongea ila hajui aongee nini.

Tundu Antipas Lissu - aelezee wapi aliposhindwa Magufuli na nini yeye ana mpango wa kuwafanyia watanzania.huyu ni mgombea mwenye sifa ya kuwa machachari na wakati mwingine anakimbia hadi kupitiliza kwao.

Bernard Camilius Membe. - aeleze wapi aliposgindwa Magufuli na nini yeye ana mpango wa kuwafanyiwa watanzania. huyu ni mgombea ambaye ana sifa za kuwa jasusi.amekosa mvuto kisiasa pamoja na jaribio la kumpamba sana.kifupi amepoa kama mate /udenda wa mgonjwa wa asubuhi.

Wawekwe hapo masaa mawili Taifa liwasikilize baada ya hapo kipyenga kipulizwe tukutane nao mitaani.
Midahalo wafanye hao akina Ashim Rungwe, kila alivyofanya Magufuli Watanzania wote tunavijua na forecast yake alishatueleza tunajua sasa mdahalo kwake wa nini tena...!!!
 
Naona kuna wanajitoa ufahamu kuhusu midahalo, hawa wangependa watu wao wapite bila kupingwa. Kwenye mdahalo unaposimamia pana jaribiwa na unasikia wengine wanavyokuona na yale wanayotaka kufanya. Kama umekaa vibaya basi knock out inakuhusu. Mawazo yanajaribiwa na kama unabwabwaja tu utafahamika. Kusema sijui Kichuya au uko bize ni dharau kwa watanzania. Bring it on baby (tule na popcorn).
 
Nashauri tu kuwa mwaka huu kabla ya kuanza kuzunguka kufanya Kampeni kuwepo mdahalo kwa wagombea wakuu watatu.

Dr. John Pombe Magufuli aelezee mambo makuu aliyowatendea watanzania na mipango yake ya mbeleni.na lengo lake la kutaka kupanua zaidi. Huyu ni mgombea ambaye anapenda kuongea ila hajui aongee nini.

Tundu Antipas Lissu aelezee wapi aliposhindwa Magufuli na nini yeye ana mpango wa kuwafanyia watanzania.huyu ni mgombea mwenye sifa ya kuwa machachari na wakati mwingine anakimbia hadi kupitiliza kwao.

Bernard Camilius Membe aeleze wapi aliposgindwa Magufuli na nini yeye ana mpango wa kuwafanyiwa watanzania. huyu ni mgombea ambaye ana sifa za kuwa jasusi.amekosa mvuto kisiasa pamoja na jaribio la kumpamba sana.kifupi amepoa kama mate /udenda wa mgonjwa wa asubuhi.

Wawekwe hapo masaa mawili Taifa liwasikilize baada ya hapo kipyenga kipulizwe tukutane nao mitaani.
Hilo haliwezekan yule mzee ana hasira za karibu afu yule mwingine alipigwa shaba ivo ana uchungu sn asije akatema cheche
 
Nashauri tu kuwa mwaka huu kabla ya kuanza kuzunguka kufanya Kampeni kuwepo mdahalo kwa wagombea wakuu watatu.

Dr. John Pombe Magufuli aelezee mambo makuu aliyowatendea watanzania na mipango yake ya mbeleni.na lengo lake la kutaka kupanua zaidi. Huyu ni mgombea ambaye anapenda kuongea ila hajui aongee nini.

Tundu Antipas Lissu aelezee wapi aliposhindwa Magufuli na nini yeye ana mpango wa kuwafanyia watanzania.huyu ni mgombea mwenye sifa ya kuwa machachari na wakati mwingine anakimbia hadi kupitiliza kwao.

Bernard Camilius Membe aeleze wapi aliposgindwa Magufuli na nini yeye ana mpango wa kuwafanyiwa watanzania. huyu ni mgombea ambaye ana sifa za kuwa jasusi.amekosa mvuto kisiasa pamoja na jaribio la kumpamba sana.kifupi amepoa kama mate /udenda wa mgonjwa wa asubuhi.

Wawekwe hapo masaa mawili Taifa liwasikilize baada ya hapo kipyenga kipulizwe tukutane nao mitaani.
Mdahalo wa nini, ili iweke, kupima nini, wa kazi gani? Sisi ni vitendo tu kwa kwenda mbele SIYO MANENO. Wanaotaka midahalo waende Ubelgiji au Washington au London. Sisi hatuna muda huo. Tunasubiri NEC wafungue dimba la kampeni watu waingie kazini kueleza kilichofanyika 2015 - 2020 na kinachokuja kufanyika 2020 - 2035 AS PER CCM MANIFESTO. Kwa ushauri, huo Mdahalo kwani hawawezi kufanya Membe, Zitto, Lissu na wagombea wengine., mpaka awepo Rais Magufuli? Rais kwenye huo mdahalo wa nini? Yuko kazini both as the current President of the URT, Chief of Armed Forces and Chairman of CCM. No more no less. Twende kazi.
 
Alafu presidential debate iwe kwa kiingereza alafu chini inapita subtittle kwa kiswahili 😇😇😇
 
Back
Top Bottom